Recent content by fumbokuu

  1. F

    Tanesco Katika Ubora Wenu !

    Hata tegeta Toka mchana mpaka sasa hamna tuna shifts kubwa sana
  2. F

    Kuna mgomo Manchester United. Wachezaji hawamtaki Mourinho

    Uwezo wa Jose Mou ni Mdogo kwa kiwango cha timu kubwa kama MU. Uwezo wa Manager yoyote sio kufundisha soka tu bali pia mahusiano yake na wachezaji na wafanyakazi wengine. Ushindi unapatikana kwa ushirikiano wa Mwalimu, wachezaji na bench la ufundi na bodi ya timu. Mfano Mou alikosana na daktari...
  3. F

    AIR INDIA inauzwa, hasara zimeielemea

    Biashara ya usafiri wa anga inahitaji abiria wengi na viwanja vingi vya ndege (destinations). Hapa kwetu TZ abiria ni wachache kutokana na wengi kutomudu nauli za ndege. Njia ambazo zinalipa ziko chache sana na ndio zinagombaniwa na kampuni zote. Dar- Mwanza-Dar, Dar -Arusha/Moshi-Dar labda na...
  4. F

    Kiongozi bora huwa wa mwisho kuokota nyama

    Hoja yako ni nzuri sana. Kama ingewezekana watu wote wasome na kuelewa siasa za TZ. Watu wengi hawafahamu kuwa maamuzi ya kiongozi mmoja yanaweza kuharibu maisha yake yote.
  5. F

    Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Kwa upande mwingine kuviteketeza ni sahihi kwa sababu hatujui afya ya hivyo vifaranga. Vikiachwa vinaweza kuleta magonjwa kama mafua ya ndege ambayo ni hatari kwa ndege wote na kupambana na ugonjwa huo ni ghali sana
  6. F

    Shamba linauzwa Vigwaza

    Shamba linauzwa ukubwa wa shamba ni eka 70.Sehemu ya shamba lina mazao kama mikorosho na miembe. Lipo Vigwaza ni 1 kilometer from Morogoro rd. Bei ni maelewano. Kwa maelezo zaidi piga cm no 0652593295 or 0715274122
  7. F

    SAMAKI SATO WABICHI TOKA MWANZA

    Kilo moja shilling ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. F

    Dawasco, Tegeta masaiti hatuna maji wiki ya pili sasa why?!!

    Halafu hakuna matangazo yoyote kuwa maji yatatoka lini watu tuna pata shida sana. Dawasco mko wapi?
  9. F

    Maflyover ya Dar es Salaam yanamsaidia nini mtu wa kijijini?

    Dar inachangia zaidi ya 80% ya uchumi Wa nchi hii kwa hiyo kujenga hiyo flyover kutasaidia zaidi kuongeza uchumi Wa nchi hii.
  10. F

    Friji na deep freezers za mitumba

    Naulizia wapi hapa Dar naweza pata fridge na deep freezers za Mitumba kwa hapa Dar.
  11. F

    Jomak primary school, nani anaijua?

    Mimi naifahamu Jomak nursery/day care centre
  12. F

    Ninauza Shamba Vigwaza

    Nipigie tuongee bei ni maelewano haiwezi kuwa fixed kwa watu wore.
  13. F

    Ninauza Shamba Vigwaza

    Wandugu Nina ekari 100 pale vigwaza ninauza. Umbali Wa kutoka barabarani ni km 1 tu. Ninaweza kuuza hata kwa vipande vipande. Kama kuna MTU yupo interested anipigie 0676806077 tuongee.
Back
Top Bottom