Jamaa anasema alipata taarifa za wasanii wengi sana wakipaza sauti zao kwa umma kuhusu kutekwa kwao. Je alisoma kwenye mitandao au nani alimwambia hayo?
Je simu zao zilikuwa wapi wakati wote wakiwa mateka? Roma anasema hajui walikotupwa lkn baadae akijifungua then akawafungua wenzake wakaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.