GAMBA GOSSI
Member
- May 6, 2015
- 34
- 18
Hawa watu ni vilaza wote, kuanzia magu, ndugai na kakoko, siyo weledi ni watu wanapenda kutumia nguvu
badala ya akili. acheni kutafuta kiki juu ya hili maana hii si haramu na wala siyo utoroshaji na uwezo wa kuchenjua siye hatuna hata baaada ya miaka kumi ya magu na hiyo hasara msitake kuwabebesha watanzania bila sababu yeyote ile.
zaidi ya miaka kumi iliyo pita upinzani uliomba wapitie hiyo mikataba ya madini waione lakini ndugai na magu ndio waliokuwa bungeni wakipinga watanzania wenzao kufanya huo uchunguzi na upitiaji hiyo mikataba kwa kudai kuwa hiyo ni siri ya serikali na hairuhusiwi hiyo mikataba kupitiwa.
Ndugai alikuwa mwenyeikiti wa kamati ya bunge ya aridhi na mazingira wananchi wa Tarime walilalamika juu maji ya mgodi wa nyamongo unatiririsha maji ya kemikali kwenda mto tigite na kuwasabibishia madhara pamoja na vifo lakini waliishia kuhongwa na mgodi na akawasaliti watanzania wenzao na bunge halikuwasaidia wananchi mpaka leo.
Sasa ndugai anapotaka kuunda tume leo maana wanataka tena rushwa. kwa hili mikataba iko wazi wa wanapopakia hizo concentrate TMAA na TRA huwa wapo. pia tujue hata hiyo dhahabu huwa siyo ya watanzaia bali ni ya wawekezaji.