Recent content by FUKO LA DHIKI

  1. FUKO LA DHIKI

    Simba wakopi jezi za Azam Fc

    Jezi ni nzuri mno hongera sana Mfadhili wetu mpya wa jezi Sunderland the only one
  2. FUKO LA DHIKI

    Kigogo wa Benki ya NMB Arusha, mbaroni kwa kulawiti mwanafunzi na kumweka kinyumba, alikuwa akilipa fadhila ya kumsomesha

    Kama ni kweli kijana huyo wa NMB achukulliwe hatua Kali za kisheria na kinidhamu,
  3. FUKO LA DHIKI

    Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Mafinga na mkoa wa Iringa kiujumla ulitisha sana kwa ugonjwa wa UKiMWI,Ila wilaya ya Makete ilitisha zaidi
  4. FUKO LA DHIKI

    Hatimaye nimetoka jela

    pole kijana
  5. FUKO LA DHIKI

    Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

    Hongera sana Pascal kwa kuwa wakili
  6. FUKO LA DHIKI

    Spika Tulia awashukia Mawaziri watoro Bungeni

    Big up sana Spika wetu
  7. FUKO LA DHIKI

    Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

    Safi sana tunahitaji Rais mcha Mungu kwa kauli na vitendo
  8. FUKO LA DHIKI

    John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

    Safi sana CHADEMA,siasa sio uadui,maridhiano ni muhimu sana katika kujenga taifa letu.
  9. FUKO LA DHIKI

    Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Hongera sana Pascal Mayalla kwa uzi mzuri wa kupigania maslahi mapana ya nchi yetu.Huo ndio uzalendo wa kweli
  10. FUKO LA DHIKI

    Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

    Pole sana mdogo wangu,ndio umeshakaribishwa mjini.Next time kuwa makini
  11. FUKO LA DHIKI

    Arusha: Mfanyabiashara adai kupigwa na kubambikiwa bangi na Polisi

    Nihatari sana pale wahusika waliopewa majukumu kikatba kulinda usalama wa mali na raia wa tanzania ndani ya nchi wanapojigeuza na kuwa vibaka na majambazi .Ni aibu na fedhea sana kwa sisi watanzania
  12. FUKO LA DHIKI

    Ukishangaa ya Musa Utayaona ya Firauni

    Hivi ni habari ya ukweli???
Back
Top Bottom