Recent content by Ftc

  1. Ftc

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupakua (download) Apps za kulipia kutoka playstore Bure

    Mbona kwangu ikishafika hapo lile neno skip pale juu alionekani mkuu
  2. Ftc

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro atembelea Kijiji alichouawa Mwenyekiti Kibiti

    Sio ukuta hao
  3. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Kaka sio kubeza tatizo la mkuu ahadi nyingi halafu azitekelezeki,alichofanikisha yeye ni kutumbua na kuzindua tu
  4. Ftc

    JamiiForums Tanzania Basi la Superfeo lapata ajali Songea

    Hivi siwezi pata rafiki mkinga humu maana maisha haya ya magufuli sio mchezo,mi nikiwa na basi zangu mbili tu zinanitosha
  5. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Unachoma nyumba kwa lipi sasa acha mambo yako wewe
  6. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Uvccm kazini
  7. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Asante wakuu nimeenda kununua burner nyingine,ile imeziba nahisi hapa natest kwa kukaanga samaki
  8. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Nani amekuambia nimejaza 50000 we endelea kutulimia mpunga huko ulipo pawaga
  9. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Asante
  10. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Asante nimenunua burner nyingine
  11. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Asante mkuu nimehamua kwenda dukan kununua kingine sasa mambo safi
  12. Ftc

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi:

    Iringa upo sehemu gan
  13. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Sasa gesi itajaa vipi chumbani mkuu wakati hata nikifungua kale kakoki gesi aifoki
  14. Ftc

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Sasa nitajuaje kama umejazwa sana au lah mkuu
Back
Top Bottom