Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Nenda kwa mafundi friji hizo valve zimeziba moshi na uchaf...nenda wakuzibulie....
Asante mkuu nimehamua kwenda dukan kununua kingine sasa mambo safi
 
Nunua burner nyingine...hazikai hizo...ukitumia muda mrefu zinatoboka kwa kutu...na km jiko hutumiii vitobo vinaziba..
Mi ishanitokeaga...
Enzi za usela nishanunuaga burner mara 3....sio imara hasa kwa kutu ndio penyewe
Asante nimenunua burner nyingine
 
Halafu wewe jamaa muongo mtungi huo mdogo ndo umejaza gesi kwa 50,000?.
Pili mbona siku unapost ilikuwa sio jumapili hapo ndo unazingua
Nani amekuambia nimejaza 50000 we endelea kutulimia mpunga huko ulipo pawaga
 
Asante wakuu nimeenda kununua burner nyingine,ile imeziba nahisi hapa natest kwa kukaanga samaki
67dbace1bd26cfae3e2534627e550f5e.jpg
3d81a267ba9033e32f3d113f35a8b333.jpg
 
Unachoma nyumba kwa lipi sasa acha mambo yako wewe
Aya, ngoja tuje kuzoa majivu. Wakati wewe mwenyewe ushasema ni maamuma kwenye gas! Gas haichochewi kama kuni. Ila hongera pia.
 
Wakuu nisaidieni kampuni gani zuri kwa jiko la gasi???yale makubwa yenye oven kw Chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom