Recent content by fstephen

  1. F

    Naliona 'anguko' la StarTimes...

    Azam TV inaonyesha ITV,eat,TBC,channel ten na zbc
  2. F

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Waacheni wakukurukee watuletee katiba la chama na watu wachache...sie kwenye kura ya maoni tunakandamiza Noooooooo...wakarudie upya
  3. F

    Dunia sio Salama

    Wakubwa wamepoteza ndege na abiria zaidi ya 200....wengine tukipoteza simu tunaonekana wazeeeembe.
  4. F

    Kingamuzi cha continantal wizi mtupu

    Azam ndo mpango na channel zinaongezeka kila kukicha..fox na fx ndani...kazi kwenu digital za antenna..
  5. F

    Must see Movies

    Kuna hii mpya Banshee noma sana haichoshi bonge la story...action
  6. F

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ebwaba Dar sasa hivi gunia ni laki mbili yani
  7. F

    TCRA - continental decoder ni wizi mtupu

    Dah hizi dekoda za antena always zimekuwa kero sasa.....lakini za satellite km azam na zuku ni poa sana
  8. F

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Yan wakat inaondoka tulidhani inaelekea kwenye njia yake ya kujiandaa kupaa Mara ikabadili uelekeo rubani akaipeleka wanapojazia mafuta kwenda kufunga kifuniko cha tanki lake ..hata kwao haikuwa kitu cha kawaida kusahau kifuniko kufunga...
  9. F

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Dah nlianza na Air Tanzania kwenda Kigoma sikulala siku 3 ...nkasafiri salama wakati wa kurudi kulikuwa na mawingu ndege ilikuwa inayumba na kushuka kwa kasi kama dakika HV kila mtu analia mi nkawa nasubir kishindo tu..tulivyoashuka dar ndo tukaambiwa kumbe ndege ilipotea had njia mana tulipitia...
Back
Top Bottom