Recent content by Fstborn

  1. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Una hamu ya kwenda jela?

    Dah.. sometimes mtu unashiwishiwa kufanya michezo ya ajabu ajabu jmn msitulaumu vijana!
  2. Fstborn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri: Je, asitishe kwanza upande wa mwanaume kumtolea mahari?

    Kipozeo nae akasema mwanamke mmoja mama tu!
  3. Fstborn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navyomuumiza msichana alioniacha bila sababu, kwa kumchukua mtoto wa shangazi yake

    Haaaaaaaaahaaaaaa ndg we mmakonde? dah...nimecheka sana npo kikazi mtwara hzo ndio kauli zao!
  4. Fstborn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navyomuumiza msichana alioniacha bila sababu, kwa kumchukua mtoto wa shangazi yake

    Huu ndio wcwc wng isijekuwa hajampenda hyo mwanamke ila anafanya tu kumkomoa fulani itakuja kula kwake sababu yy ndie atakaeishi na hyo mwanamke ila km kweli kabisa kampenda aoe wakigombana cjui nn watajua wenyewe!
  5. Fstborn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuacha mwanamke kisa amekuudhi, utaacha wangapi?

    Hp ss tuko pamoja una bahatiiiiiiii!
  6. Fstborn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuacha mwanamke kisa amekuudhi, utaacha wangapi?

    We maliza maneno tu unaweza kugongewa ukavumilia? naona unatiririiiiika hp!
  7. Fstborn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuacha mwanamke kisa amekuudhi, utaacha wangapi?

    Dah... naona bdo unazunguka jamaa kauliza "ww ushawahi kuacha ama kuachwa? ukajibu tofauti kabsaaaaa kwamba "mm cjaoa" jamaa akakwambia mada yko imeongelea kuhusu kuachana tu co lazma kwenye ndoa so jibu swali acha maneno meeengi hujui baada ya kumpa jibu jamaa anataka kuongea nn mnatukosesha...
  8. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Kazi ya medical attendant sekta ya afya

    Muongeze msenge hyo kuna mijitu muda wote makuzi makuzi tu!
  9. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Watani zangu ni nani aliyewaroga?

    Waambie kk washaanza sema wa dar!
  10. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Watani zangu ni nani aliyewaroga?

    Hyo wa mkoani huoni sura? Tatzo lenu kila anaefanya ujinga mnamuita wa dar!
  11. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwandishi wa habari atekwa ateswa kisha kupigwa picha za uchi

    Weeeeeee uhai bila marinda?
  12. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

    Cc hatujakataa ushauri wke ila ukifatilia threads zke utagundua hyu csta ana chuki sana na wanaume!
  13. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

    Na ana stress haswaaaaa!
  14. Fstborn

    JamiiForums Tanzania Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

    Hyu csta ana stress sana!
Back
Top Bottom