kuwa serious MA.t.AKo weweAaah usihame...
Naweza kukuoa ili usihangaike
kuwa serious MA.t.AKo wewe
Muongeze msenge hyo kuna mijitu muda wote makuzi makuzi tu!kuwa serious MA.t.AKo wewe
Kweli wewe ni kilaza..... MA wengi ni vilaza kazini.Naitwa anna komba natafuta kazi kwenye dispensaries mkoa wa mbeya nataka nimfate mume wangu nina uzoefu wa miaka 6 kazini na ata ivyo bado nipo kazini nahitaji kuhama kwajili ya kumfata mume watu tu asanteni
Usijione umetimia kiswahili ulikileta wewe embu tulia Mimi sio mswahili kiswahili nimekikuta na kilikuepo ata wewe umekikuta pia ko kuwa mpoleKweli wewe ni kilaza..... MA wengi ni vilaza kazini.
Hujui hata kuandika...
Badala ya "hata" unaandika "ata"...
Badala ya "hivyo" unaandika "ivyo"..
Hizo shule mnasomea Ujinga ama?
Unamuonea wivu huko alipo asije akachepuka?[emoji4] [emoji1]Naitwa anna komba natafuta kazi kwenye dispensaries mkoa wa mbeya nataka nimfate mume wangu nina uzoefu wa miaka 6 kazini na ata ivyo bado nipo kazini nahitaji kuhama kwajili ya kumfata mume watu tu asanteni