Ingekuwa chadema inahusika kumupiga lisasi tundulisu bas chadema wote wangekua wameishia ndani lkn kwavile wahusika niwao wenyewe ndomaana mpaka sasa wanaendelea kuishi kwa matukio na maigizo huku watu wasiokua na hatia wanaumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya serikari hii imekua ya visasi sasa ninajiuliza hawa mapadiri na maasikofu pamoja na mashee wanaona eti hii ndio serikari nzuri kuwa kutokea tz hivi huwa wanakurupuka au nawao wamepewa ki2 kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahuyu laisi ngeleja asahau uwazili..akizubaa nae atakamatwa huyujamaa hatabiliki hatakidogo wala haaminiki..ni laisi asiyesomeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwajuaje kama baba yake alimkutaa mtoto nakama mama alipata mchepko halafu baba akajua naakaamua kumtoanduki..akaondoka na kichanga chake..mm nishauli sivizuli watoto kuingilia ugonvi wa wazazi maana huwezijua waligombania nini
Kwakukosana na babayake hilo linaonesha jinsi alivyo mjinga wawezaje kukosana na baba mzazi kisa maneno yamama hawa wakinamama huwawanamanene maneno sana hasawanapoona watoto wameanzakupata fedha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.