Recent content by Frnqlin

  1. F

    JamiiForums Tanzania Female orgasm ( kufika kileleni)

    Safi dada mkweli...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnakosea hapa!

    Babu kuna wanawake thy treated like queen/an Angel lakini kupigiwa ni suala mtambuka.....Hivi una taarifa Mwanamke anaweza kuamua tu kufanya na mtu mwingine hata yeye hamjui na unampa hizo care mnazoambizana hapa.Jidanganyeni
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnakosea hapa!

    ..Huyo somebody anasaidia kuvuruga Ndoa na Mahusiano ya Wapendanao..Mimi sio msomi wala mjuzi sana ila naamini Mapenzi hayana sehemu ya Elimu kwamba utaenda kuipata..Yanakuja tu,na kwa nini yanafeli?Naamini yanafeli ukianza kuingiza huu ujuaji mara semina kwa chriss mara sijui vitu gani hakuna...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnakosea hapa!

    ...Alichoandika ni kitu kizuri cha kuwa waungwana(loyal)lakini anatakiwa aamini siyo msaada pia,ila ni msaada wa muda mfupi mno....
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnakosea hapa!

    ...Kumegewa au kutomegewa Inategemea Mwanamke ana huruma na wewe kiasi gani....hilo ndo jibu sahihi mzee hizi unazotuambia ni siasa na vitu vya kukupa unafuu wa muda mfupi tu....Huruma yake na malezi yake ndiyo ponapona yako.Mwanamke ana Vinasaba vya Kinyonga.Anaweza akatamani tu kumegwa na Jitu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hisia za kimapenzi

    Haaahaaaaaa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hisia za kimapenzi

    Akimpigia simu basha wake na umeingia gharama ya kinywaji,sex drop....utaumia maisha......
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

    ..Kama umeweza kujua Elimu ya kujiunga na Jamii forum...sina uhakika kama huna Elimu ya Ukimwi kiasi hicho.lah sivyo wewe ni Mvulana(mtoto mwenye jinsia ya kiume) na siyo MWANAMME
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mahususi kwa mabinti wote

    Maungo ya mwanamke ni kitu chenye thamani sana kwa Mwanamme...bahati mbaya asilimia 45 ya wamiliki wa maungo hayo hawatambui kama kuyaficha ndiyo kuyaongezea thamani......
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Haiwezekani...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    Hakili ni nywele kila mtu ana zake
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    ....anatakiwa kujua hapakuwa na camera kwa hiyo hzo picha ni sanaa inayotokana na simulizi za maandishi au maneno ndo tunatengeneza picha kwa mfano wa kitu/mtu....
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

    Hatari.......[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

    ..Wabongo kwa Ushabiki...Balaa gani sasa??!!!!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ananitaka kimapenzi

    ...Haki ya Mungu kwa maelezo yako hata wewe unakataka hako katoto....usirogwe ukakapiga mti lazima Mungu akuaibishe kwa mjomba wako au jamii inayokuzunguka.
Back
Top Bottom