Recent content by french

  1. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Serikali haiwezi kumsingizia msomi wa chuo kikuu kwa ugaidi

    Hapa ndio unaona umuhim wa katiba mpya
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

    In short, CCM hawataki katiba mpya nchimbi tu ndio anahitaji
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Watanganyika ni wepesi mno kudanganyika na Chama kile wameshawajua walivyo wasahalifu na kuwachezea tuendelee kusukuma gari tukiwa ndani

    Alichokosea nini nchimbi, iwe anatoa moyoni au kinafki ila ukweli tudai katba mpya. Amesema wapinzani hasa chadema wajikite kuomba katiba mpya na si vinginevyo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Unamaanisha tanganyikabyote ipo znz ?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tusema wewe ndiye Rais Samia, ungejibuje swali hili?

    Swali gumu sana na la kiitelijensia zaidi. The word bypass maana yake ni kuruka vihunzi vya vikwazo kama iran, china na russia wanavyo ruka. Sasa kwa nchi kama tz ni ngumu na huwezi kuvisema hadharani , ni siri. Sijui kwanini yule mama ameuliza hilo swali
  6. F

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa imeelewa Iran haruhusiwi kuwa na nguvu kashindwa vita ameamua kuumiza wote tukose Kwa kufunga Harmouz Hadi Tanzania wataumia Us Wanayo yao

    Kabla ya uvamizi strait of Hormuz ilikuw kwenye hali gani. Ukijibu hilo utapata jibu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Hahaha, sasa serikali si wasubsdize ili bei ishuke ya mafute, au hamna hela
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF: Kenya haina Kiwanja chenye sifa za kutumika AFCON

    Kenya wametoa kina Mariga na wanyama na wengi tu kwenda ulaya timu kubwa. Wewe umetia nani
  9. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kutengeza hatch kama hii

    natafuta kifaa cha kujanga hatch kama hii ya mwezi mchanga
  10. F

    JamiiForums Tanzania Iran kwa nini wanashambulia hadi Dubai? Je watapata wanachokitafuta?

    Ushajiuliza kwanini israel alipiga mabomu qatar, au anauwa wapalesyina
  11. F

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh Ateuliwa kuwa Naibu Gavana wa BOT

    Usiwahusishe waislamu na upuuzi wenu fa a la wewe. Uislam umeingiaje hapo. Dilini na upuuzi wenu na sio dini. Mnanata tuwe list hapa ya wafanyakazi wa BOT tuone waislam wangapi na wala nguruwe wangapi
  12. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga kuvuruga amani na uchaguzi

    Ile tume ya uchunguzi ya kifo chake imeishia wapi
  14. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

    Ok awa tuseme alikuwa qnatumika, swali la msingi, je alichokua anaongea ni kweli au alizusha
  15. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kocha Gamondi: Ushindi wa Tanzania ni heshima kwa waliopoteza maisha Oktoba 29

    Kauli muhimu kuliko zote. TANZANIA NI MUHIMU KUKO HATA MPIRA WA MIGUU
Back
Top Bottom