Recent content by Frekim

  1. F

    JamiiForums Tanzania swali: hivi bado mda wa kuomba mkopo wa masomo ya chuo kikuu unaruhusu

    mwenye jibu wakuu tafadhali
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    Kura yangu ni kwa lowasa na michepuko yangu yote
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nanunua used pikipiki

    Kuna skymarck kaka, kama unaitaji nipm
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr naomba kujua dawa ambazo zinaongeza hormone za kiume na side effects Zake, shukurani
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naomba kujua dawa ya kuongeza hormone za kiume na side effects Zake
  6. F

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    ata mm ni saa saba mkuu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 30 Septemba 2014- Upigaji Kura, Katiba Inayopendekezwa

    Sita imekula kwake.... Amevuna alicho panda... Na uraisi apati tena asharibuuuuuu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni ajira, shahada ya Cooperative Management and Accounting

    mwende ajambo? Mama Helen naye vp? Natania tu mkuu ngojea wadau waje utapata kazi mkuu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyo asipoteuliwa kugombea uraisi atajinyonga

    wassira
  10. F

    JamiiForums Tanzania Postgraduate Diploma ya DUCE

    nina ndugu yangu anataka aje apo kusoma postgraduent ya education, naomba mniambie utaratibu ukoje ili nimsaidie yuko kijijini, shukurani kwenu
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CCM Arusha: Chatanda usituingilie - UVCCM Arusha

    kumkataza au kumkatakata...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Igunga amekufa wakati akimuokoa mkewe ambaye ni Albino

    hivi bado hawa jamaa bado wanaendelea kuuwa hawa ndugu zetu, Mungu awalaani
  13. F

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo juu ya Mivutano ya makundi katika mchakato wa Katiba Mpya

    hawa si wlisema watajadili bila ukawa mbona wanawaomba warudi bungeni
  14. F

    JamiiForums Tanzania Jamani nathubutu kusema kwa dhati kuwa kwa wale wenye majini, dawa ni hii hapa! Sidanganyi..

    ila kuna majini yanakula kitimoto... Sio story nimeshudia mimi mwenyewe
  15. F

    JamiiForums Tanzania Imeniuma sana siku ya May Mosi

    tungezipata kwanza hizo ajira hao maboss nijambo lingine
Back
Top Bottom