Naombeni ajira, shahada ya Cooperative Management and Accounting

Naombeni ajira, shahada ya Cooperative Management and Accounting

mhasibumkuu

Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
43
Reaction score
6
Nipo mwanza nimemaliza degree ya cooperative management and accounting

naweza fundisha masomo ya book keeping na commerce form I mpaka IV,

Kazi ya uhasibu naweza nipo registered NBAA Kazi ya mikipo nipo vizuri sana, usimamizi wa viwanda Kwa ujumla najua kutumia kompyuta kwa Hali ya juu sana hata kufundisha computer certificate level,

Nina uzoefu wa mikopo, marketing, uhasibu najua kutumia quick book,tally.Form IV nimefaulu vyema, form VI nimefaulu vyema degree nimefaulu vizuri ninaweza kufanya kazi na nimchapakazi bora sana naombeni msaada wenu jamani
 
Nina uwezo Mkubwa wa kuanzisha na kuisimamia financial institution ya aina yoyote tafadhali nisaidieni
 
mwende ajambo? Mama Helen naye vp?
Natania tu mkuu ngojea wadau waje utapata kazi mkuu
 
mwende ajambo? Mama Helen naye vp?
Natania tu mkuu ngojea wadau waje utapata kazi mkuu

Kaka hawajambo kaka umemsahau makuru magigi, Yusuph kulindwa , mataba Mzee wangu haule T. Dah enzi zile 2010
 
Nenda kasimamie saccos za wauza pamba huku bunda
 
Elimu ya Tanzania haina plan B.Vijana hawafundishwi jinsi ya kuwa matajiri. Wanafundishwa ili waje kuajiriwa. We ndugu pamoja na vyeti na ujuzi wote huo bado upo kizani. Unapapasa kutafuta nani akuajiri ili kila asubuhi uwe unaenda kuandika jina lako kwenye daftari,na mwisho wa mwezi labda upate mshahara laki 4.5!. Sikiliza ule wimbo wa Nick wa pili usenao 'sitaki kazi' labda utaanza ku think outside of the box!
 
Back
Top Bottom