huyu jamaa hana lolote, hana uchungu na nchi hii, anataka jamaa aachiwe ili ahamasishe maandamano watu wauawe ndo anapata rahaaaaaa! ashindwe alegeee......!
amani ki2 muhimu sana, serikali ya ccm imefikia mahali haizingatii tena suala la amani, wanachotaka wao ni madaraka2, ifike mahali sasa wananchi tuwakatae kwa nguvu zetu zote mana wanatumia fedha za kodi zetu kutoa rushwa, wanatumia vyeo tulivyowapa kutunyanyasa, ndugu zangu wa arusha na popote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.