Recent content by Free will

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Nimemuona Wan Bissaka anachezea DR Congo jana na alishawahi kuchezea England
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Yeah naona umeshindwa kunielewa😂I meant Outlander ni nzuri kuliko Harrier/kluger kwenye perfomance
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Kluger siyo Handsome...amekosa muonekano😂
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Kama anataka gari kazi kazi...I recommend Toyota Kluger hasa akipata ya 4WD...nimeendesha ya FWD kuanzia 110 kph inakosa stability
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Kluger/Harrier huwezi ku-compare na Outlander interms of perfomance
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Bro be for real...yaani Harrier 2WD ufananishe na Outlander 4WD???
  7. F

    JamiiForums Tanzania Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Nafanya kibarua(operator) kiwanda cha nguo X hapa Dsm. Kwa sasa nalipwa Tsh 4,500 per day. Naamini safari moja huanzisha safari nyingine, ipo siku my cards will align
  8. F

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Ahsante sana kiongozi. Muhimu ni kutokata tamaa na kuzidi kuwa na roho ya kiume tuzidi kupambana
  9. F

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Salamu wana-jf Naomba msaada kwa yoyote mwenye connection ya kiwanda au shughuli yoyote inayolipa walau Tsh 8,000/- kwa siku. Kwa sasa nipo kiwanda kimoja hapa Dar es Salaam lakini malipo ni Tsh 4,500 kwa siku na tunafanya kazi 12 Hours sasa sioni nikifikia malengo wala kupiga hatua Nipo Dar...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man City ni Matapeli! kaondoka na open bets 9😞 hata 1X kashindwa kutoa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

    🤣🤣🤣mimi enzi za msoga muhula wa pili...nilikuwa napenda kutia coin mdomoni hasa Tsh 50
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

    Mimi nahitaji 2.5M nirudishe 4 kwa miezi 6🙏🏼
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anko umeandika kwa hisia kubwa sana😂😆😆
Back
Top Bottom