malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,909
- 4,684
Wakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Fanya Yote Chukua Toyota,Wakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Uzi umeishia hapa.1) Toyota
2) Subaru
3) Mitsubishi
Bila ya kusahau utunzaji wako ndio hufanya gari idumu muda mrefu, kama hutokuwa na kuifanyia huduma vizuri gari itakuwa na matatizo kila siku.
Bro be for real...yaani Harrier 2WD ufananishe na Outlander 4WD???Bora uchukue Harrier mkuu,,,kwasababi ninaona ina perfomance nzuri kuliko hizo,,,pia haisumbui sana
Kluger/Harrier huwezi ku-compare na Outlander interms of perfomanceHata we mwenyewe unaona harrier ni first choice, ukishindwa subaru.
Tatizo ni gharama za kuihudumia outlander ni kubwa mnoo,nina jamaa yangu alinunua hyo Mitsubish outlander mwaka jana usajili no EH,,mwaka huu ameiuza tena kwa bei ya chini sana kama mil 16 toka mil 23 ya kuagiza japan,..kaamua kuchukua Corrolla Runx.Kluger/Harrier huwezi ku-compare na Outlander interms of perfomance
Huyo ni kwa sababu hana hela, alipata ya kununulia ila ya kuhudumia hana au anayo kwa ajili ya gari ndogo. Kifupi huyo ndugu yako aliruka stage.Tatizo ni gharama za kuihudumia outlander ni kubwa mnoo,nina jamaa yangu alinunua hyo Mitsubish outlander mwaka jana usajili no EH,,mwaka huu ameiuza tena kwa bei ya chini sana kama mil 16 toka mil 23 ya kuagiza japan,..kaamua kuchukua Corrolla Runx.
Kama anataka gari kazi kazi...I recommend Toyota Kluger hasa akipata ya 4WD...nimeendesha ya FWD kuanzia 110 kph inakosa stabilityUkishindwa hayo yote mkuu kuna small yake, mitsubishi rvr, kagari kapo poa sana.
Naona kama Kluger omekosa popularity sijui shida nini mkuu!Kama anataka gari kazi kazi...I recommend Toyota Kluger hasa akipata ya 4WD...nimeendesha ya FWD kuanzia 110 kph inakosa stability
Inatumika sana Usukumani ndiyo maana imekosa popularity (jokes)Naona kama Kluger omekosa popularity sijui shida nini mkuu!
Kluger siyo Handsome...amekosa muonekano😂Naona kama Kluger omekosa popularity sijui shida nini mkuu!
Kluger/Harrier huwezi ku-compare na Outlander interms of perfomance