Siku moja nilimuuliza swali mheshimiwa mmoja: Kwanini ulikuwa unasimama jukwaani na kusema CCM matumbo ya Tembo yanameza kila kitu na hawashibi, wamemaliza nchi kwa matumbo yao makubwa yasioshiba, na sasa katika kipindi hiki cha awamu ya tano ya tumbua tumbua unasema watu wananyanyasika hakuna...
Nilihamia kanda ya ziwa miaka ya 1990, nilipofika sokoni nilikutana na samaki (sangara) wakubwa kama mimi, nilishangaa sana maana vilikuwa ni vitu vigeni kwangu, walikuwa wanatumia mashoka na mapanga kutukatia vipande kwa fedha uliyokuanayo, miaka ikasogea na ukubwa wa sangara ukazidi kuwa...
wanawake wa sasa wanajitambua hawataki manyanyaso ya wanaume, wanaume wengi wana tabia ya kuona wanawake hawana uwezo kama wao hawawapi uhuru wa kuchangia mawazo yao
Wengi wanamfahamu punda kuwa ni mnyama anayefanya kazi, jamii za Tanzania hasa mkoa wa arusha na manyara wanamtumia punda kwa ajili ya kubeba mizigo yao, wengi wao humbebesha punda mzigo mgogoni kama magunia ya mahindi, mkaa maji na kuni. Punda amekuwa ni nyenzo muhimu katika usafirishaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.