Recent content by free lander

  1. free lander

    samaki Aina ya GOGO

    Kuwapata hawa samaki kwa wingi ni maeneo yenye mito. Ukabda wa bonde la Kilombero ni wengi sana ukifika msimu wake. Wanajulikana kama ngogo
  2. free lander

    Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

    Hii chuma bado unayo? Inatumia engine gani na ulaji wake wa mafuta ukoje?
  3. free lander

    Bei ya mchele ipoje Kahama

    Bei ya mchele inategemea na ubora. Kama utakuwa na uhitaji toka Ifakara karibu
  4. free lander

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Hii bei hata kwa mashine na Ifakara hupati
  5. free lander

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Kushusha ni anapopeleka, bei zao sijui. Naongelea kutoka Ifakara
  6. free lander

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Geti gani kalipia 4500. Maana ushuru inategemea na geti la halmashauri husika. Mimi nimeweka geti la halmashauri ya Ifakara mji Huyo yupo Mbingu, ni halmashauri ya wilaya ya Mlimba. Ushuru ni mapato ya ndani ya halmashauri hivyo kiwango kinaamuliwa na halmashauri husika
  7. free lander

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Wewe ni mwenyeji wa Ifakara au upo Dar? Kwa mzigo huo gari uhakika. Gharama kwa gunia la kilo mia ni 12000. Usafiri 9000 Ushuru 2500 Kupakia 500
  8. free lander

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Chief naona tulianza mazungumzo pm lakini hujajibu meseji zangu za mwisho
  9. free lander

    Nitajuaje Kama Niko kwenye list Credit Reference Bureau Tanzania?

    CRB ni mfumo rejea wa mikopo. Ni mikopo yote iliyolipika na isiyolipika (hata kama bado ni mkopo endelevu unaolipwa kwa wakati). Kama umekopa benki au taasisi rasmi za ukopeshaji jina lazima liwekwe kwa ajili ya rejea. Hii taarifa huwezi kuitoa hata kama umelipa
  10. free lander

    Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Songesha kuna huduma za aina mbili. Kuna songesha kwa watu wa kawaida na songesha wakala. Vodacom ana ubia na FINCA kwenye songesha wakala na si songesha kwenye laini za kawaida.
  11. free lander

    Huyu dereva bodaboda na hii treni walikuwa wanarekodi sinema au ni tukio la kweli?

    Mimi nimeongelea dhima ya video iliyowekwa. Imesambazwa kwa jamii kwa lengo la kutoa elimu. Sasa wewe unavyosema nini kimetokea nashindwa kukuelewa
  12. free lander

    Huyu dereva bodaboda na hii treni walikuwa wanarekodi sinema au ni tukio la kweli?

    Hiyo video imeandaliwa mahususi na TRC kwa ajili ya kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara kwenye maeneo reli inapokatiza
  13. free lander

    Rapcha anajua lakini maana ya freestyle?

    Kitengo kakalishwa na TOXIC FUVU kwenye big sunday
  14. free lander

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi wale ASA ndo wamegoma kabisa kuita watu kwente mkando?
Back
Top Bottom