Recent content by free freed

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

    Kweli jamii forum twajifunza mengi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani mwanamke unakumbana nazo kumlea mtoto peke yako?

    Illuminata nakumbuka siku mmoja ulitaja kutelekezwa na mimba mwaya. Embu waulize upate uzoefu shogangu. Mi bado naamini ipo siku mwanaume aliyekupa ujauzito atakutafta. Mungu na Yesu kristo Mfalme wakutangulie ktk uzazi salama.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kwa Kiingereza kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India

    Kinachozungumzwa hapo ni kuwa hata yule aliyeonekana kuisoma hotuba ya kingereza hakuisoma vizuri japo maneno yaliandikwa vizuri, kwanini ashinde kusoma vizuri?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nusu ya Wakurugenzi wateule kuenguliwa

    Nilishaliona hili mapemaaa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nusu ya Wakurugenzi wateule kuenguliwa

    Vizuri sana, ila ungetumegea hizi habari umepata kutoka chanzo kipi isije ikawa propaganda, japo habari kwa kweli zinatia tumaini.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nywele za sehemu za siri huongeza msongo wa mawazo

    Yeye hana stress
  7. F

    JamiiForums Tanzania Usichojua kuhusu makanisa ya kiroho

    Hosea 4 :6 watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Take care.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

    Sory, Wakonta anaandika kwa kutumia ULIMI kwa sasa
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

    Leo njia panda ya Clouds Fm Wakonta ambaye ni mmoja wa wanafunzi waliopata ajali hiyo miaka minne iliyopita kahojiwa na Dr Maro. Inasikitisha sana kwani kashapooza nusu ya mwili kushuka chini na pia hakufanya mtihani wa form 6. Mahojiano yataendelea wiki ijayo ila kifupi Wakonta anaondka kwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

    Moja wa ushauri muhimu sana ktk uzi huu kuliko Comment yoyote.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

    Ok, nmekupata
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

    Hii ni idara au kada gani ya utumishi?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya uchapaji viboko mashule, zamani na walimu wa sasa katika picha

    H Hivi maana yake nini maana pia sijui
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya uchapaji viboko mashule, zamani na walimu wa sasa katika picha

    Hii mpya yanipa mashaka maana mwanafunzi mwenyewe ni mtu mzma sana. Naona maigizo hapo.
Back
Top Bottom