Usichojua kuhusu makanisa ya kiroho

Usichojua kuhusu makanisa ya kiroho

Mtoa mada unaweza ukawa na point lakini umeshindwa kufanya presentation vizuri. And I can only assume hii imetokana na ukweli kuwa umefanya conclusion based on kile kilichokutokea wewe na siyo kile ambacho Mungu anaongea juu ya manabii wa uongo. Manabii wa uongo hawapo kwasababu wewe ulienda kanisani ukatabiriwa mambo mawili tofauti na mtumishi mmoja. Manabii wa uongo wapo kwasababu Yesu alitabiri miaka 2000 iliyopita kuwa watatokea.

Mtu wa kwanza kutabiri kuwa kutatokea manabii wa uongo ni Yesu mwenyewe. Alisema katika Mathayo 24:5 kuwa wengi watakuja kwa jina lake wakisema wao ni Kristo. Lakini kwenye Mathayo 24:24 Yesu anarudia tena kuonya kuwa "watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu wapate kuwapoteza hata walio wateule". Kwenye Yohana 5:43 anaendelea kuonya tena kuwa "mimi nimekuja kwa jina langu wala hamnipokei mwingine akija kwa jina lake mtampokea".

Mifano hiyo michache kutoka kwa Kristo ni uthibitisho tosha kuwa suala la uwezekano wa kuwepo manabii wa uongo siyo habari mpya tena. Ni dhahiri kuwa lazima wawepo hata mtu asipotuambia kuwa wapo.

Kitu cha msingi ni kuelewa kuwa huwezi kuwa na NABII WA UONGO kama hayupo NABII WA UKWELI. Yaani neno uongo linatokana na neno ukweli. Huwezi kumwambia mtu anakudanganya kama hujui ukweli unafananaje. Kwa mfano, huwezi kusema simu hii ni FAKE ilihali hujui sifa za kuifanya simu kuwa ORIGINAL ni zipi. Hutaweza.

So Yesu aliposema tujihadhari na manabii wa uongo, alichokuwa anamaanisha wakati huohuo ni kuwa tujifunze ni sifa zipi zinamfanya mtu kuwa nabii wa ukweli. Alikuwa hana lengo la kutufanya kustick na kufocus kutafuta manabii wa uongo popote walipo halafu tuanze kudraw dangerous conclusions kuwa MANABII WOTE NI WAONGO TU, halafu hatufanyi jitihada zozote kuwatafuta wale walio wa ukweli. Huko kutakuwa ni kujidanganya na tutakuwa tunamsaidia Shetani kutupumbaza tu. Hatupaswi kutoa msaada wa aina yoyote kwa Shetani.

Sasa ili usitoe msaada wa aina hiyo kwa Shetani. Yaani ili uache kuhangaika kuishi kwa kutafuta makosa (faultfinding) ya watumishi na uanze kuconcentate on sifa nzuri zinazofanya mtumishi awe NABII WA KWELI, ni lazima uzame kwenye NENO LA MUNGU. Ukijifunza vizuri Neno la Mungu, utajua ni jinsi gani ufalme wa Mungu unafanya kazi na ni sifa zipi zinamqualify mtu kuwa mtumishi wa Mungu wa ukweli. In fact Biblia ina majibu ya matatizo yote binadamu anayokutana nayo kiasi kwamba ukiwa msomaji mzuri wa Neno, itafikia kipindi wala hautahitaji tena kwenda kuonana na nabii ili atatue tatizo lako. NENO la Mungu linatosha kabisa kumaliza matatizo yooooooooote unayokutana nayo makubwa au madogo. Kitu muhimu ni kuamini tu. PERIOD.

Kwahiyo anza leo kusoma Biblia yako kwa utulivu huku ukiomba uongozi wa Roho Mtakatifu ili uachane na habari za kwenda kutafuta msaada kwa manabii--wawe wa uongo au wa ukweli.

Thanks very much.umechukua maneno yangu yote.lakini vilevile tusimwamini mtoa mada sana kwa sababu pengine is natural MAN so ni ngumu yeye kujua mambo ya rohoni if is not SPIRITUAL MAN
 
Amri 10 ilikuwa ni mwanga tu ila Roho Mtakatifu ndiye arabuni yetu na kutufunza.

Amri ni torati na zipo zaidi ya 600 na waliotangulia walizishindwa maana waweza shika zote ukikosea moja wewe ni wa motoni ila kwa sasa tunaishi kwa neema tu,ndio. Maana kila saa tunatubu,kama unataka kuishi kwa Amri kumi nenda KATOLIKI AMA ISLAM,hao ndo wanaishi kwa sharia,sisi wapentekoste tunaishi kwa neema
 
The power of healing and success is within every one who believe being healed and being successful in anything. The only problem is lack of knowledge for most people. That's why most American church don't preach offering=healing, they only preach faith, if you give you're likely to receive blessing if you believe in offering. It's a complicated phenomenon especially in Africa, because those who claims to have healing power from our creator (of which they get it for free) they're so rich, and their followers are very very poor.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hosea 4: 6
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
Hosea 4: 6.
Kusema ukweli huu mstari unaakisi jinsi tulivyo sisi binadamu wa leo,na una maana kubwa sana kama tukitulia na kuufuatilia kwa umakini.
Principles zote za mafanikio ya nyanja zote zipo kwenye Biblia Takatifu.
Mafanikio ya Elimu.
Mafanikio ya Kifedha na Kiuchumi.
Mafanikio ya Kiimani.
Mafanikio ya Kiuongozi.
Mafanikio ya Kimahusiano (Ndoa).
Mafanikio ya Kijamii (Malezi bora,familia bora,heshima,utu,).
Mafanikio ya Kijumuiya (Kiukoo,Kiukanda,Kinchi).
Tatizo ni kuwa wale watu waliopewa karama ya kufundisha hayo ama hawafundishi au wanafundisha ila sisi ndio hatufuati kanuni.
Kongole kwa Rafiki yangu mpendwa Mwalimu Christopher Mwakasege na Mkewe kwa kutulisha mana.
 
Ukiona kanisa unaambiwa utoe pesa ndio uombewe hilo in kanisa la SHETANI ....Bwana Yesu alisema "mmepewa bure toeni bure"
 
Imani ya uponyaji inaanzia moyoni kwako huko kwingine ni kujiongeza tu.
 
Mtoa mada unaweza ukawa na point lakini umeshindwa kufanya presentation vizuri. And I can only assume hii imetokana na ukweli kuwa umefanya conclusion based on kile kilichokutokea wewe na siyo kile ambacho Mungu anaongea juu ya manabii wa uongo. Manabii wa uongo hawapo kwasababu wewe ulienda kanisani ukatabiriwa mambo mawili tofauti na mtumishi mmoja. Manabii wa uongo wapo kwasababu Yesu alitabiri miaka 2000 iliyopita kuwa watatokea.

Mtu wa kwanza kutabiri kuwa kutatokea manabii wa uongo ni Yesu mwenyewe. Alisema katika Mathayo 24:5 kuwa wengi watakuja kwa jina lake wakisema wao ni Kristo. Lakini kwenye Mathayo 24:24 Yesu anarudia tena kuonya kuwa "watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu wapate kuwapoteza hata walio wateule". Kwenye Yohana 5:43 anaendelea kuonya tena kuwa "mimi nimekuja kwa jina langu wala hamnipokei mwingine akija kwa jina lake mtampokea".

Mifano hiyo michache kutoka kwa Kristo ni uthibitisho tosha kuwa suala la uwezekano wa kuwepo manabii wa uongo siyo habari mpya tena. Ni dhahiri kuwa lazima wawepo hata mtu asipotuambia kuwa wapo.

Kitu cha msingi ni kuelewa kuwa huwezi kuwa na NABII WA UONGO kama hayupo NABII WA UKWELI. Yaani neno uongo linatokana na neno ukweli. Huwezi kumwambia mtu anakudanganya kama hujui ukweli unafananaje. Kwa mfano, huwezi kusema simu hii ni FAKE ilihali hujui sifa za kuifanya simu kuwa ORIGINAL ni zipi. Hutaweza.

So Yesu aliposema tujihadhari na manabii wa uongo, alichokuwa anamaanisha wakati huohuo ni kuwa tujifunze ni sifa zipi zinamfanya mtu kuwa nabii wa ukweli. Alikuwa hana lengo la kutufanya kustick na kufocus kutafuta manabii wa uongo popote walipo halafu tuanze kudraw dangerous conclusions kuwa MANABII WOTE NI WAONGO TU, halafu hatufanyi jitihada zozote kuwatafuta wale walio wa ukweli. Huko kutakuwa ni kujidanganya na tutakuwa tunamsaidia Shetani kutupumbaza tu. Hatupaswi kutoa msaada wa aina yoyote kwa Shetani.

Sasa ili usitoe msaada wa aina hiyo kwa Shetani. Yaani ili uache kuhangaika kuishi kwa kutafuta makosa (faultfinding) ya watumishi na uanze kuconcentate on sifa nzuri zinazofanya mtumishi awe NABII WA KWELI, ni lazima uzame kwenye NENO LA MUNGU. Ukijifunza vizuri Neno la Mungu, utajua ni jinsi gani ufalme wa Mungu unafanya kazi na ni sifa zipi zinamqualify mtu kuwa mtumishi wa Mungu wa ukweli. In fact Biblia ina majibu ya matatizo yote binadamu anayokutana nayo kiasi kwamba ukiwa msomaji mzuri wa Neno, itafikia kipindi wala hautahitaji tena kwenda kuonana na nabii ili atatue tatizo lako. NENO la Mungu linatosha kabisa kumaliza matatizo yooooooooote unayokutana nayo makubwa au madogo. Kitu muhimu ni kuamini tu. PERIOD.

Kwahiyo anza leo kusoma Biblia yako kwa utulivu huku ukiomba uongozi wa Roho Mtakatifu ili uachane na habari za kwenda kutafuta msaada kwa manabii--wawe wa uongo au wa ukweli.
Jane lowassa ndo wewe kwel.....
 
Amri 10 ilikuwa ni mwanga tu ila Roho Mtakatifu ndiye arabuni yetu na kutufunza.

Amri ni torati na zipo zaidi ya 600 na waliotangulia walizishindwa maana waweza shika zote ukikosea moja wewe ni wa motoni ila kwa sasa tunaishi kwa neema tu,ndio. Maana kila saa tunatubu,kama unataka kuishi kwa Amri kumi nenda KATOLIKI AMA ISLAM,hao ndo wanaishi kwa sharia,sisi wapentekoste tunaishi kwa neema
Ukisoma maandiko ya mkristo kama huyu utajua huko aliko analishwa nini! Anaamini Roho Mtakatifu amefuta umuhimu wa amri kumi za Mungu! Haya ndio matunda ya tafsiri binafsi za maandiko Matakatifu.
 
Mimi mdogo wangu amekufa baada ya ndugu zangu kumtoa Hospitali na kumpeleka kwa makanisa ya kiroho.Hospitali walisema ana UTI na imeingia kwenye figo ,matibabu yake ni taratibu lakini ndugu zangu wakamtoa na kumpeleka kwenye mikanisa ya kiroho.Mdogo wangu alikufa.Jamani achana na maombi yoyote omba mwenyewe kwa muumba wako.maombezi ni kifo
 
Kwa ujumbe huo ni makanisa yote au nn unamaanisha? Usipotoshe watu kaka
 
Mimi mdogo wangu amekufa baada ya ndugu zangu kumtoa Hospitali na kumpeleka kwa makanisa ya kiroho.Hospitali walisema ana UTI na imeingia kwenye figo ,matibabu yake ni taratibu lakini ndugu zangu wakamtoa na kumpeleka kwenye mikanisa ya kiroho.Mdogo wangu alikufa.Jamani achana na maombi yoyote omba mwenyewe kwa muumba wako.maombezi ni kifo
Mdogo wako alikuwa na imani?
 
Wakuu pokeeni salamu zangu,

Kutokana na kuhangaika na maradhi sugu nilijikuta naenda katika haya makanisa ya kiroho kuombewa hiki ndicho nilichokiona huko.

1. Pesa kwanza; hufanyiwi maombi mpaka ulipishwe pesa tena ukifika siku ya kwanza unaulizwa kazi unayofanya kabisa alafu watakuambia roho mtakatifu kakuambia utoe shilingi ngapi.

2. Unatolewa unabii feki kabisa; nilienda mara ya kwanza nikaambiwa tatizo langu nimerogwa kuna binti niliahidi kumuoa nikamkimbia, kwa kijana kuahidi kuoa mtu na kukimbia ni jambo la kawaida nikakubali ila naenda kuombewa tena mara ya pili akawa kanisahau kwenye unabii akasema tatizo langu linasababishwa na vifungo ambazo wazee wangu waliingia hivyo nahitaji kutoa sadaka ya ukombozi kumbuka huyo ni mtumishi mmoja anatoa unabii tofauti kwa mtu mmoja na tatizo moja.

3. Maombi hayasaidii kupona; kila ugonjwa kuna uwekano wa kupona na kutokupona wanachofanya hawa watumishi ni kucheza na probability wale wakupona wakija kutoa ushuhuda wanawavuta na wengine waje kuombewa, wale wasiopona hawana nafasi ya kuja kushuhudia tena hivyo tunawasikia waliopona tu wasiopona hatuwasikii, hivyo kuonekana watu wanapona kweli ila si kwa ajili ya maombi ni natural selection tu.

Baada ya kusema hayo naomba kuwasisitiza msidanganywe na matangazo ya redion kuhusu uponyaji ni feki uponyaji ni suala la asili hata bila kuombewa kuna watu wanapona wengine hawaponi, kazi hata bila kuombewa kuna watu watapata wengine hawawezi pata na mafanikio yoyote yale ni hivohivo.

NB: Unaweza ongeza matatizo uliokumbana nayo ulivoenda kuombewa.
Hongera wewe kwa KUZINDUKA..

Wengi walioingia kwenye mikono ya hao wachungaji huwa WANAPUMBAZIKA na HAWAJIFIKIRII tena hatma yao..

Kuna mambo mengi kuhusu hayo makanisa yanayozuka kama UYOGA ambayo UKIYAJUA hautokanyaga tena huko..

Nakushauri tu..muamini mungu wako,sali hata nyumbani kwako..AMINI wewe unaweza kujiombea bila kumtegemea mwanadamu mwenzako..

Jiulize kwanini wengi wanaosali huko wanapumbazika??

Kijana,hii ni dunia nyingine..zinduka na uache kutangatanga..watu wana "MAAGANO" yao!!
 
unapoona kila baada ya nyumba kumi kuna kanisa la mtu anaejiita NABII/MTUME ujue kuna shidaaa.na sikuhizi hawataki kujiita WALIMU,WACHUNGAJI,WAINJILISTI au mashemasi.yani kila mtu ana fanya atakavyo utadhani hakuna mwongozo wa kufuuta,na hili balaza la maaskofu wa kipentekoste si jui kazi yao ni nini?,hata ofisi tu ambayo ni mali ya balaza la maaskofu sijui kama wanayo.yani mtu anaweza akaibuka tu na kuanzisha kanisa bila hata kujulikana aliko tokea,
 
Wakuu pokeeni salamu zangu,

Kutokana na kuhangaika na maradhi sugu nilijikuta naenda katika haya makanisa ya kiroho kuombewa hiki ndicho nilichokiona huko.

1. Pesa kwanza; hufanyiwi maombi mpaka ulipishwe pesa tena ukifika siku ya kwanza unaulizwa kazi unayofanya kabisa alafu watakuambia roho mtakatifu kakuambia utoe shilingi ngapi.

2. Unatolewa unabii feki kabisa; nilienda mara ya kwanza nikaambiwa tatizo langu nimerogwa kuna binti niliahidi kumuoa nikamkimbia, kwa kijana kuahidi kuoa mtu na kukimbia ni jambo la kawaida nikakubali ila naenda kuombewa tena mara ya pili akawa kanisahau kwenye unabii akasema tatizo langu linasababishwa na vifungo ambazo wazee wangu waliingia hivyo nahitaji kutoa sadaka ya ukombozi kumbuka huyo ni mtumishi mmoja anatoa unabii tofauti kwa mtu mmoja na tatizo moja.

3. Maombi hayasaidii kupona; kila ugonjwa kuna uwekano wa kupona na kutokupona wanachofanya hawa watumishi ni kucheza na probability wale wakupona wakija kutoa ushuhuda wanawavuta na wengine waje kuombewa, wale wasiopona hawana nafasi ya kuja kushuhudia tena hivyo tunawasikia waliopona tu wasiopona hatuwasikii, hivyo kuonekana watu wanapona kweli ila si kwa ajili ya maombi ni natural selection tu.

Baada ya kusema hayo naomba kuwasisitiza msidanganywe na matangazo ya redion kuhusu uponyaji ni feki uponyaji ni suala la asili hata bila kuombewa kuna watu wanapona wengine hawaponi, kazi hata bila kuombewa kuna watu watapata wengine hawawezi pata na mafanikio yoyote yale ni hivohivo.

NB: Unaweza ongeza matatizo uliokumbana nayo ulivoenda kuombewa.
Mtoa mada ulisha mwamini yesu kristo? Je ulipoenda kuombewa huko ulitamani kutubu dhambi zako kwanza? Biblia inasema.. utafuten kwanza ufalme wa mbinguni, mengine yote mtazidishiwa! Usiende kanisan kama unavyoendaga kwa mganga, nenda kwa nia ya kumjua yesu wa msalaba. Jifunze kutoka kwa Ayubu 22:21..." mjue sana Mungu, ili uwe na amani; ndivyo mema yatakavyokujia". Pia kanuni ya Mungu akusamehe dhambi zako kwanza ndipo akupinye magonjwa yako.
 
Mimi mdogo wangu amekufa baada ya ndugu zangu kumtoa Hospitali na kumpeleka kwa makanisa ya kiroho.Hospitali walisema ana UTI na imeingia kwenye figo ,matibabu yake ni taratibu lakini ndugu zangu wakamtoa na kumpeleka kwenye mikanisa ya kiroho.Mdogo wangu alikufa.Jamani achana na maombi yoyote omba mwenyewe kwa muumba wako.maombezi ni kifo
Wakati mwingine inabidi ukubali matokeo bila kutafta kulaum wengine, hivi nikuulize huko hospitali mlikompeleka mgonjwa watu hawafi? Kama wanakufa mbona hamuwalaum madaktari mnasema ni mipango ya Mungu?
 
Hivi watanzania ndiyo mnaojua neno la Mungu kushinda ulimwengu mzima?mimi ningekuwa na mamlaka ningechoma vikanisa uchwala vya mtu mmoja mmoja.Hapa nchini hakuna Nabii wala mtumishi wote ni wezi tu.Ujinga wenu ndio unasababisha mhandike kwa kujipendekeza,yote ni ubatili afadhali uislaamu mara mia
 
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Back
Top Bottom