Recent content by fredymagessa

  1. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    posa ilitumwa juzi usiku
  2. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    uko wapi
  3. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika anapokataa kusikia neno TANGANYIKA maana yake nini?

    sidhani kama kuna mantiki mtu anapo sema tanganyika ni zao la kikoloni, wakati hata hizo kenya, uganda, ghana, na nchi nyingine nyingi za Afrika zilitawaliwa na wakoloni na baadae kupata uhuru na kubaki na majina hayohayo nawala huo ukoloni wanao uzungumzia haupo, hata zanzibar yenyewe...
  4. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Jaribu kufikilia tena,sababuzako zaweza kua za msingi sana, ilakuondoka kwako kunaweza kusababisha madhara makubwa sana katika mchakato huu, ukawa inatafuta wanachama wengi ili kufanikisha malengo yao napengine nimtu mmoja tu ambaye pengine ni wewe utafanikisha ushndi kwa ukawa. tulia watendee...
  5. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    huo ni utabili, piga goti omba subili Mungu atende, kwanini kubishana hadi mtoleane matusi? kama nilakuwezekana lita wezekana kama ni uwongo basi itajulikana tu. watanzania wenzangu Mungu yupo na bado anazungumza na watu wake.
  6. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Kaaazi kwelikweli, ndo Tanzania lakini, sie wa kikurupuka.
  7. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakaeniiuzia samaki za jumla jamani kwa bei nzuri

    nipo shirat rorya, 0764218633 whatsap au piga 0783410404 or 0653348761 tufanye biashara.
  8. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    minadhan mita zina togautiana me leo nimenunu umeme wa elfu kumi nimepata unit 29.6, sasa tatizo na mita au bei,
  9. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Je wajua ni yapi hutakiwi kusema kila tarehe moja mwanzo wa mwaka?

    hadithi nzuri sana
  10. fredymagessa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kikenyakenya

    Doo=fedha, mshiko, hela
  11. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania msiba uliotikisa nchini TZ kuliko wa Nyerere na Mandela

    umetisha mzee...!!
  12. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

    Nikweli mkuu me nimeibiwa 40 elf, bank NMB Tawi nzega, baada ya kutaka kutoa elfu hamsin ikatoka elfu kumi, af kufatilia transaction ndan ikaonekana 50 imetoka nisha andika barua lakin had leo wapo kimya. kueni makin jaman
  13. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Kaka mbona kimya
  14. fredymagessa

    JamiiForums Tanzania Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Nirushie pls. fredymagessa@gmail.com
Back
Top Bottom