Je wajua ni yapi hutakiwi kusema kila tarehe moja mwanzo wa mwaka?

M.A

Member
Nov 20, 2013
34
0
Kila ifikapo mwanzo wa mwaka usijaribu kumuhadithia mtu ndoto ulioota usiku wa tarehe 31 disemba kwani ndoto zingine huwa ni za kweli. Haya sikiliza kisa hiki cha kijana wa japan. Lui xu ni kijana wa mzee xu wung. Mzee huyu ana watoto 3 tu. Ilipofika tar 1 baba watoto hao alitaka kila mtoto amuhadithie ndoto aliyoota usiku. Lui xu alikataa kumuhadithia baba yake, akaamua kumfukuza. Kwan aliota amekuwa mfalme wa masharik na magharibi. Wakat yuko njian alikutana na tai mkubwa, tai akamuuliza mbona unatembea porin peke yako? Akajbu baba amenfukuza kwa kuwa nimekataa kumuelezea ndoto yangu. Tai akasema bas niambie mimi. Akamwambia nichukue kwanza ndpo ntakapokwambia. Akafkishwa kwa zimwa. Zimwi akaambiwa kama alivyoambiwa tai. Zimwa akampa dawa inayotbu magonjwa sugu yote ili aambiwe lakn hakumwambia. Akatembea na kufka nch ya mashariki. Alimkuta mfalme anaumwa sana. Alimtibu na mfalme akampa ufalme. Pia mfalme wa magharb alisumbuliwa tena naye almtbu na kumpa ufalme. Akawa mfalme wa nch alizoota na akapewa wake.
 
mkagulu original

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
703
225

Next time anza na neno 'paukwa!'
 
Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,206
1,195
Mpaka umalizie na kupewa wake! Ukishasema akapewa ufalme in amaana alipewa milki yote, iwe magari, farasi nk na akajichagulia aliowapenda kama mswati au vasco, maisha yakasonga!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom