msiba uliotikisa nchini TZ kuliko wa Nyerere na Mandela

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,089
2,000
watu wengi ktk vyombo vya habari,mitandao ya kijanii,fb na mawasiliano mengine wamekua na maoni kuwa msibaba wa baba madiba umetia fora barani afrika kabda na hata ulaya.
lakini moha ya vigezo vinavyotolewa ni waingi wa watu na uwepo wa viongozi maarufu duniani.
kila msiba una aina yake ya kutia fora.Msiba ambao umetia fora kuliko misiba iliyowahi kutokea kote afrika na ulaya kama si dunia nzima ulitokea tanzania na watz tunahaki ya kusherehekea.
msiba wa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tz Daud BALALI ndio uliotisha kwa sababu:
1.haukupata kuoneshwa ktk chombo chote cha habari pote duniani.
2haukuhudhuriwa na kiongozi yeyote wa nchi yoyote duniani
3.kaburi lake halijulikani liliko
4.nyumbani kwa marehemu hskuna mwandishi aliyeruhusiwa kuingia
5.hakuna mwanandugu aliyezungumzia msiba huo.
6.serikali haikutumia senti hata moja katka msiba.

tunasemaje msiba wa mandeka umetia fora?tusisahau vya kwetu tukatukuza vya wengine.
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,420

= hajafa
 
Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,939

mkuu namba sita si kweli huu msiba uliigharimu sana serikali mpaka leo mkuu.
 
ssafari

Senior Member
Jul 17, 2013
177
225
watu wengi ktk vyombo vya habari,mitandao ya kijanii,fb na mawasiliano mengine wamekua na maoni kuwa msibaba wa baba madiba umetia fora barani afrika kabda na hata ulaya.
lakini moha ya vigezo vinavyotolewa ni waingi wa watu na uwepo wa viongozi maarufu duniani.
kila msiba una aina yake ya kutia fora.Msiba ambao umetia fora kuliko misiba iliyowahi kutokea kote afrika na ulaya kama si dunia nzima ulitokea tanzania na watz tunahaki ya kusherehekea.
msiba wa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tz Daud BALALI ndio uliotisha kwa sababu:
1.haukupata kuoneshwa ktk chombo chote cha habari pote duniani.
2haukuhudhuriwa na kiongozi yeyote wa nchi yoyote duniani
3.kaburi lake halijulikani liliko
4.nyumbani kwa marehemu hskuna mwandishi aliyeruhusiwa kuingia
5.hakuna mwanandugu aliyezungumzia msiba huo.
6.serikali haikutumia senti hata moja katka msiba.

tunasemaje msiba wa mandeka umetia fora?tusisahau vya kwetu tukatukuza vya wengine.

Mkuu umetisha saana kwani kuna kaukweli hapo
 
bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Mkuu kumbuka kuwa silaha yako inaweza kukua mwenyewe,balali na sirikali wametumia kodi zetu na kutumia maarifa ya kitabu cha kusadikika kutuambia balali amefariki kumbe yamkini yuhai na yamkini anaishi kwa kodi zetu tena hapo alipo.
Nawalaaniwe wote waliotengeneza na kutekeleza mkakati huu kwa maslahi yao...
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Wapi papaa lukosi mutu ya watu simiu yetu mamaa ngina naniliu waje wajibu hapa eti hii mutu balali chama chenu walimzika wapi au kwenye sayari? Manake hii mutu ilikuwa na siri kubwa sana jamaa nasikia anakula bata kwa wadhungu walla kuna watu kiama watachomwa nyie maccm tuibieni tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom