Recent content by Fred Wk

  1. Fred Wk

    Umoja wa Ulaya wanataka kuandika upya sheria za Tanzania?

    Acha uongo mkuu,, hoja zilizotolewa ni nyingi,, kwavile hujui lugha tu mkuu poleee
  2. Fred Wk

    Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha Uchaguzi TLS

    Nadhani hapo unatwanga majikwenye kinu tu jamaa atakua ana Bashite
  3. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama umeziona si uziweke hapa na sisi tu coppy au asubuh asubuh tu ushapombeka,, ngoja maguful akuone wewe
  4. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haaa pole sana Trigeminal, ukishaanza kubet ujue ushakua muathirika wa hiyo kitu kuacha ni ngumu sana yaani, ni sawa na bangi ikishakukolea kichwan hata uambiwe vipi huelew somo.... Ila wakati wako wa kupiga hela upo usichoke,, siku ukipiga utarudisha pesa yako yote, na utafurah... Mi leo...
  5. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Maseke ni Bahati Lo@dinV Haahahaaaaaaaaa,
  6. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaaaa, nitatuma saiv saiv nakula raha hukyu,, nikurudi home baadae nitapiga picha huo mkeka muone,,
  7. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana, hata mimi nilipofika betting, nilibashir palepale, mawazo ya mechi nilizotokanazo home nilijikuta sikuyaweka, ni kama zali tu yaan,
  8. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukiwa na maseke utakua unapiga hela kila mara,, tatizo watu hawana maseke,, mi jana nimempiga mzungu supabets 2,653,000 niliweka zangu timu 8 tu kisha nikaweka mzigo wa 30,000.
  9. Fred Wk

    Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

    Huyu jamaa ni KALUMANZILA kwakwel,,
  10. Fred Wk

    Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Magufuli wakati anapiga pushup jukwaani, muulize juma nyoso alimfanyia nini..... Haaahaahaa
  11. Fred Wk

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Nitakuwepo sehemu husika, safi sana!,,
  12. Fred Wk

    Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Nadhani uzee unamuendea vibaya, sasa ana matatizo ya macho
  13. Fred Wk

    Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

    Isipokua gazeti la Uhuru tu, hilo gazeni lina gundu silinunui tena, lakibinafsi sana, sijui kama wanauza magazeti tena wale, wataendelea kupata hasara kila Siku..
  14. Fred Wk

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa Tutashinda Uchaguzi mkuu mwaka huu 2015 hatutaiba kura.
Back
Top Bottom