Japo imeigwa kwa baadhi ya watangulizi kama Yesu na na ushauri pia Paul of Tarsus, ni utaratibu ambao kanisa limejiwekea na kuukubali wanaoingia katika maisha hayo wanakuwa wakitambua hilo na wanaendelea na mafunzo ya maandalizi kiroho ,kimwili na kiakili, so hadi anafikia hatua hiyo anatambua...
Kama umefanikiwa kukaa for two year without her what else do you want? hata kama mlikuwa na watoto two years naamini umekwisha jipanga and you have managed you dont need to rewind the problem otherwise you are turn a victim.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbuzi(Nyama ) imesafirishwa kwenye sehemu maalum ya kubebea mizigo sio kwenye viti vya abiria/passangers seats.Ni kama kubeba mizigo kwenye boot ya basi na abiria kukaa kwenye seat ndani ya bus. Be humble.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama itafikiwa hatua hiyo basi kwa kuwa historia haijawahi kumtambua mtu mwingine kabla yake basi atakuwa wa kwanza to be canonised, How ever it is not à matter of just a decision of one person. It is a process that is guided by postulator and the proven gathered evidences that will indubitably...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.