Unaomba tukusaidie basi la kwenda singida?, hebu rudia tena kabla hatujatoana ngeuSamahani naomba nisaidieni BUS la kwenda Singida tofauti na ABC
Umesikia huku kuna wapiga debe!!?Samahani naomba nisaidieni BUS la kwenda Singida tofauti na ABC
Acha haraka vuta pumzi kwa andika upya ukieleza upo mkoa ganiSamahani naomba nisaidieni BUS la kwenda Singida tofauti na ABC