Recent content by Franqlin

  1. Franqlin

    Tukisema Clouds Fm wapigaji wanabisha, ona Fiesta vs tetemeko Bukoba

    ..watu wengine kwa unafiki Nahonyo utawaweza!?Eti huwa sisikilizagi!!!Kama hawasikilizagi wanajuaje Makonda na Hapi ni washirki wa clouds!!?...hawa watu ni wapiga majungu.,,vimekalia kuchomekea na kuvaa vimiwani uchwara na kujifanya vimtu vya career....sipendi!!mpaka nachukia watu kutokua na...
  2. Franqlin

    Tukisema Clouds Fm wapigaji wanabisha, ona Fiesta vs tetemeko Bukoba

    ..Haiwezekani na Hakiwezekani unachokisema maana inaonekana huelewi chochote....Biashara yangu ndio ajira yangu then uniingizie ratiba zako za kitaifa ambazo ni jukumu KUBWA la chombo husikaTBC....Acha majungu mkuu!!hayo ni majungu....
  3. Franqlin

    Tukisema Clouds Fm wapigaji wanabisha, ona Fiesta vs tetemeko Bukoba

    ..Husikilizi mbona wanatoa taarifa!??pia ukumbuke hiyo clouds ni chombo binafsi...wamewekeza pesa zao nyingi huko fiesta jukumu kubwa hilo ni la TBC...wengine ndio watafuatia.....kwa hiyo clouds ndio imegeuka tv/radio ya taifa?ile ni biashara ya mtu na inatakiwa iheshimiwe tuache majungu....wapo...
  4. Franqlin

    Kwanini Wasukuma wanachukuliwa kama kabila la kipekee Tanzania?

    ..hana sifa zao....wenyewe wapo Magu,wapo kwimba,misungwi(original)...simiyu ni wanyantuzu' wengi asilia yao ni singida wana mzazi wao mmoja ni mtu wa singida(sturbon sana)...waliobakia wote cjui kuanzia Sengerema,Geita,huko Chato hao wote ni machotara wa kisukuma....maana wamechanganyikana na...
  5. Franqlin

    Tetesi: Babu tale amterekeza Chid benz

    ..Lengo haikuwa kumuinua kimziki,Bali kumsaidia kuacha hizo takataka na alitimiza lengo lake kama mtoa msaada...hakili kichwani aliyesaidiwa!!
  6. Franqlin

    Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

    Morgan yupo vizuri kwenye kuzungumza...kaha humu alitisha...
  7. Franqlin

    Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

    ..Hakuna jibu sahihi maana Denzel ni moto,huyu mzee Morgan ni moto mkali,sam moto....hapo ni mapenzi ya mtu tu...,na ibaki hivyo
  8. Franqlin

    Dar: Ukikutwa gesti mchana unakamatwa. RC Makonda akanusha kuwatuma askari kufanya msako

    I got u bro!?!ila ukiweweseka umekwenda...ni kuletewa sabuni na ndizi jela!!
  9. Franqlin

    Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uweje?

    .uhandsome Hauna thamani kwa mwanamke hasa anaejiona HANDSOME.....
  10. Franqlin

    Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uweje?

    .Hatari!...hamna namna inabidi tuwasaidie wadogo zetu......maana huyu nna uhakika ni mdogo wetu
  11. Franqlin

    Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uweje?

    Nkwambie kitu mdogo wangu!?...kuwa mwanamme,namaanisha hivi fanya ambayo hawafanyi wanamme wengi,kwanza kama kujiulizisha humu Jf utapataje demu mkali,pili sahau kitu kinaitwa handsome katika Uanamme wako,tatu Focus katika kile unachokifanya kama unasoma wewe soma kwa ustadi,kama umejiajiri kuwa...
  12. Franqlin

    Dar: Ukikutwa gesti mchana unakamatwa. RC Makonda akanusha kuwatuma askari kufanya msako

    Kiongoz najaribu kuelewa mantiki ya unachosema ila isipokuwa ni aproaching ya operation nyingi za polisi wetu hapa nchini tunazijua,hata wewe unazijua...sasa nashangaa kidogo ukiangalia upande mmoja hapo ndio napata wakati mgumu kidogo kukupata VIZURI...nipo tayari pia kutaka kueleweshwa zaidi
  13. Franqlin

    Dar: Ukikutwa gesti mchana unakamatwa. RC Makonda akanusha kuwatuma askari kufanya msako

    point yangu ni kwamba hili jambo siyo la kupita nyumba za kulala wageni kila unaemkuta amepumzika mchana abebwe...polisi watumie nafasi yao ndani ya jamii(WALINZI WA JAMII)Kumfanya wanaemuuliza awe huru na salama.kumbeba mtu na kumwambia utajieleza kituoni siyo sawa...wengine tuna ndugu zetu...
Back
Top Bottom