Tetesi: Babu tale amterekeza Chid benz

Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye akafanya track pale wasafi records Akiwa amemshirikisha Raymond unaambiwa amemterekeza baada ya kuona return yake ya matibabu hajirudi wakati yeye alimbebesha sana mzigo Enzi zake sasa Chid benzino yupo zake ilala Hana hamu View attachment 395572
Je sisi wengine tumefanya lolote? Au tunapeleka lawama tu kwa aliyejaribu kwa uwezo wake kufanya chochote?
 
Mchuma janga.....! Mungu baba tunusuru sie na vizazi vyetu!
 
Labda huyo chid benz haeleweki maana Kama ukihitaji kumsaidia mtu afu yeye mwenyewe akawa hajielewi basi unaachana naye unafanya mambo mengine, maana hao wala ngada nao nasikia ni Ngumu kuacha.
Haswaa mkuu, yaani hao watu ni wasumbufu balaa, ukimwachia upenyo kidogo tu anajilipua. Yaan huyu ilitakiwa akae sober hata 6months ili aweze kukabiliana na alosto. Nadhan haeleweki huyo
 
apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa..
Ikiwa hakuweza kuwa mvumilivu kule sober house unadhan yupo tayari kuacha ngada? Mkuu huyu anatakiwa awe tayari yy mwenyewe na kisha wanaomzunguka inakuwa rahisi kwao kumsaidia
 
Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye akafanya track pale wasafi records Akiwa amemshirikisha Raymond unaambiwa amemterekeza baada ya kuona return yake ya matibabu hajirudi wakati yeye alimbebesha sana mzigo Enzi zake sasa Chid benzino yupo zake ilala Hana hamu View attachment 395572
Usimpe lawama mtu ambaye hakumfundisha kula sembe, ni ujinga wake na upoyoyo na kiherehere juu ndio vilaumiwe
 
Sasa mkuu Babu Tale hana majukumu mengine yakufanya kazi yake iwe ni kumchunga na kumlisha Chid Benz? hapa alipo mfikisha Tale ni sehemu kubwa sana wadau wengine wajitokeze kumsaidia jamaa

Tusipende kutoa lawama tu bila kusema nini kifanyike
 
..Lengo haikuwa kumuinua kimziki,Bali kumsaidia kuacha hizo takataka na alitimiza lengo lake kama mtoa msaada...hakili kichwani aliyesaidiwa!!
 
Wabongo bwana midomo mirefu kaa chupa,sasa wewe ulitaka aache kufanya kazi zake ahangaike na jitu zima kaa chidi?

kishafanya alichoweza kilichobaki watafanya wengine.
 
Ikiwa hakuweza kuwa mvumilivu kule sober house unadhan yupo tayari kuacha ngada? Mkuu huyu anatakiwa awe tayari yy mwenyewe na kisha wanaomzunguka inakuwa rahisi kwao kumsaidia
Hayo yote wewe unaweza kuyataa kama msaada hata kama ni ndugu yako?
NDIO SI UPENDO WA DHATI.. DUNIA KUPENDANA BWANA EHH.. PIA AMTAFUTIE NA WALINZI MAALUM WA KUMLINDA ILI ASIPATE UPENYO
 
Nimesoma uzi wote bila kuelewa kitu! Ningependa kujua - Chid karudia Unga ? Je amepoteza Uwezo wake kutunga na kuimba muziki? TATIZO lake HASA kwa sasa Ni lipi baada ya kutoka soba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom