Recent content by franktz

  1. F

    Je huyu jamaa atashitakiwa kwa kesi gani?

    Kwa mujibu wa kanuni ya transferred malice,kunaweza kuwa na kesi ya murder.Ile nia ovu(yaani mens rea) itahamishwa kwenda kwa mtoto
  2. F

    Injini ya Treni na Meli, ni ipi yenye nguvu zaidi kuliko nyingine?

    Mkuu jaribu kupitia mtandao wa quora pia wana application yake. Inakuwaga na majibu ya maswala mbali mbali. Nina uhakika utapata jibu zuri huko.
  3. F

    Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

    Ni shida kweli,sasa jaribu kusearch "wanafunzi" kwenye google images na "students" kwenye google images pia uone tofauti iliyopo.
  4. F

    Wimbo wa Sauti Sol Nerea

    Ni wimbo mzuri,ila naona historia ya Afrika imepotoshwa pale wimbo unaposema "Mandela ni mkombozi wa Afrika". Inajulikana wazi kabisa wakombozi wa Afrika ni kina Kwame Nkurumah, Mwalimu Nyerere, na Mandela ni uzao wa harakati za hawa watu.
  5. F

    Toyota Prado for sale

  6. F

    Toyota Prado for sale

    Wakuu gari ipo dar,bei ni tshs 40,000,000/-,maongezi yapo!picha zinakataa kuupload,ni Pm email zenu niwatumie!
  7. F

    Toyota Prado for sale

    Toyota Prado ya mwaka 2007,engine ya 5L,manual!ipo katika hali nzuri sana!serious buyers PM for more details
  8. F

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Anastahili kutambuliwa kwa jina lake!!waandishi wetu wengi wanakosa weledi wa kazi yao!
  9. F

    TANZIA: Yule mtoto aliyewekwa kwenye BOX MIAKA MINNE afariki dunia! ...so sad

    RIP Nasra!hukustahili kupitia hayo mateso!vyombo vya sheria vichukue mkondo wake,waliokutesa watakabili kosa la mauaji!! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. F

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Nimesoma gazeti ya mwananchi leo, Malaika anaendelea vizuri
  11. F

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Habari ya kusikitisha sana!ni vema kwa wana jf walioko moro kufuatilia maendeleo ya afya ya huyu malaika,na kuangalia namna ambavyo wana jf wanaweza toa misaada yao ya kifedha!ni imani yangu malaika huyu atarudia afya yake njema.Hospitali ya ccbrt wana utaalamu wa kunyosha viungo,ni vyema kama...
  12. F

    Playstation(ps) zinauzwa

    Playstation ipi mkuu?ps2 au ps3 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom