Mgeni ndio mwenye haki, Mimi ndio nimefungua kizibo, Je kama watoto wako wangekunywa bila kufungua kisoda? Mlengwa wa faida hapa ni mimi. Soda ni zawadi kwa mimi kupoteza muda wangu kuja kukujulia hali. Zawadi inapokuja na Bonus ntakurudishiaje?
Alafu nani anayesema Maji yangu kizibo chako...