Msaada wa kuanzisha biashara

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
Heshima kwenu wakuu, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana namshukuru Mungu nimepata kazi japo ya kawaida lkn maisha yanasonga. Nina kama milioni tatu kwa sasa mfukoni na malengo yangu nahitaji hii pesa niizungushe ifanye kazi na kuniletea faida. Naombeni mawazo yenu ni ujasiliamali gani nifanye au nianzishe biashara gani.
Mawazo ya kila mtu yataheshimiwa.
 

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,035
2,000
mkuu ngoja watakuja sasa hivi tupo bize na sikukuu maeneo ya huku.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom