Recent content by frankisrael

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mizigo imezidi Bandarini yaani malori barabarani hadi karaha

    Wewe boya kweli maroli yapi yamejaa kuna madereva toka mwaka jana mwez wa kumi hawajasafiri mizigo hakuna
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa mpaka wakati huu Millardayo na Clouds Instagram hawajatangaza kukamatwa kwa Lissu

    Wanaacha kuwakamata wauza unga wanamkamata lissu kwenye unha ukute kuna majina yao
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    Kwa sisi raia tunaona sawa tu hatuna huruma na mtu hao jamaa wanatuonea sana wakiwa kwenye vituo vyao sasa wanaume wa shoka wakiwatandika sawa shangwe kazi. Yao kupiga wapinzani hawana lolote watoto wadogo wanawatoa kamasi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

    Hii kampuni inanguvu ya mtu alie kwenye madaraka mpaka mbuga za wanyama wameweka nguzo serengeti
  5. F

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuta gari limeandikwa kisigino hakina msaada kwenye ndala
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Mdahalo umehailishwa hautakuwepo jpili
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe anazizimisha Nzega

    Diva zitto kabwe
  8. F

    JamiiForums Tanzania Pinda amwaga mamillioni, zawachanganya wajumbe wa baraza kuu UVCCM taifa leo hii Dodoma

    Sasa huyo pinda akiwekwa sura yake kwenye noti wiki moja tu noti imechakaa
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Jamani mmemuona leo mkinga alikuwa channel ten na makwaiya jamaa ashanunuliwa na ccm
  10. F

    JamiiForums Tanzania Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

    Nashangaa diamond kuvaa gwanda serikali yote imesimamisha shughuli sasa siti huyo akaojiwe kufoji cheti
  11. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania bwana, eti simu za galaxy ni za wanawake

    Hiii nchi mpaka maprofesa wa kupewa uprofesa wa kupewa ni wakike
  12. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania bwana, eti simu za galaxy ni za wanawake

    Mwanaume unatakiwa utumie htc bana
  13. F

    JamiiForums Tanzania Pesa ni ya Shetani au ya Mungu?

    Pesa ni thamani co mali
Back
Top Bottom