wakuu nipo safarini kwenda mwanza,nimezinyaka taarifa juu ya uwepo wa mkombozi mbowe ktk anga la mji wa nzega,nikaona isiwe tabu nikakatiza na stk mpaka parking pembeni ya stand ya nzega.nikapokelewa na track ya prof.jay na mh.sugu!pamoja na jua kali,umati umetanda ukimgojea kamanda kwa hamu.tupicha nita-upload!kamanda mtoi utaendelea nilipoishia.sasa chopa linamiminika toka upande wa kaskazini na kupiga swaga,mji ni kama mbiu imelia,watu wanaelea huko kwa wingi wakitokea sehemu mbali mbali za mji.mbowe anatua kama.