Watanzania bwana, eti simu za galaxy ni za wanawake

Watanzania bwana, eti simu za galaxy ni za wanawake

Ndio maana Tanzania ni nchi masikini na watu hawajui ni kwa nini wako masikini na viongozi wao hawajui ni nini chanzo cha umasikini wa wananchi wao.

Leo nilikua naongea na jamaa yangu ambae huwa anaenda china na Korea kusini mara kwa mara,nikamuomba siku akienda aniletee galaxy note 4 maana bei huko inaweza kua reasonable kidogo kuliko huku.

Basi pembeni yetu walikuwepo watu wengine,nikasikia mmoja anasema simu zote za Samsung ni za kike ikiwemo galaxy zote. Eti mwanaume huwezi kujisifia kuwa na galaxy simu za kike. Juzi juzi kapa nilileta mada humu nikiomba ushauri kati ya brevis na verrosa ipi gari nzuri nikaambiwa zote ni za wana wake. kwa hiyo kila kitu ni cha wanawake basi.

Watanzania sina hamu nao.

hahahahahaa nakwambia watanzania ukiwasiliza maneno yao unaweza ukawalipua na bomu. wanaboa mfano hakuna.
 
Watu wenye uwezo wa kuzinunua hawana kauli kama hizo, mara nyingi wachovu wenye ndio wenye lugha za kujipa moyo kama sababu ya wao kutokuwa nazo. Fanya yako mkuu.

kanywe soda kwa mangi nitakuja kulipa.absolutely that is what it is men, wenye kutoa kauli hizo ni wale wasiokuwa na uwezo wa kuwa nazo.
 
Ukweli galaxy zimekaa ki soft soft so zinafaa wanawake. Unlike tecno, lg, htc etc. Ila Tcno wajameni anakuja kwa kasi. Nimekutana na Tecno Phantom Z nikakubali. Sema ni kilo 8 hadi 7.5 uwe nazo mitaa ya maduka City Centre. Hko kando bei zinaweza kupungua kidogo.

kwa kifupi sema touch screen zote ni za kike coz zote zipo soft soft
 
Wengi hawaelewi. Ingawa simu hazina jinsia ila nadhani wengi wanaangalia ile usoft na rangi za kuvutia kwenye screen na font za soft look hivi. Hizi kweli ni element za kike. Ndio sababu binafsi sikupebda Apple walivyoacha identity yao ya simu zenge hard edges wakaenda kwenye soft and curved endges (iPhone 6). Lakini point hapa ni kuwa usoft au attractive colors na curved edges ni 'ke. In that perspective simu ni iPhone 5, Apple are always serious.
 
Back
Top Bottom