1. Hivi sasa hakuna matatizo huyo Northern Ireland kwani walimaliza tofauti zao mwaka 1998 kwenye Good Friday Agreement ambayo ilisainiwa Belfast, huko Ireland ya Kaskazini.
2. Wanaserikali yao na wanaendela na shughuli zao kama kawaida na vyama vyote hushiriki kwenye shughuli za bunge etc
3...
Kitwanga anadai kuwa bila yeye Magufuli asingekuwa Mbunge
in other words our commander in Chief is in the pockets za hawa ma cronies na wana mheld hostage
Kuwatimua hawezi, kuwafunga hawezi, kuwafilisi hawezi, kuwataja hawezi
kaishia kutuomba tumwombee kwa Mungu. Sie wengine hatuamini mungu...
Huyu Charles Kitwanga naye ni miongoni mwa waliokuwa wakilipwa BOT bila kufanya kazi yoyote ile
Halafu huyu ndio waziri wa mambo ya ndani
Hivi magufuli alifanya vettting ya hawa jamaa lini?
Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga. Ambaye amekuwa akilipwa BOT kwa miaka zaidi ya 6 bila kufanya kazi yoyote ile. Tusisahau kuwa ndiye waziri ambaye kazi yake ni nyeti sana lakini pia yumo kweli listi ya Magufuli ya BOT.
Huyu anasema ni ndugu yake Mhehsimiwa Rais Mgufuli hivyo yeye ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.