Recent content by frank phillibert bwenge f

  1. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    kwanza natanguliza shukrani kwa JF members mpk nimefikia hatua hizi ktk kufungua sanduku la posta nimefata utaratibu wote lkn tatzo kipindi najaza hawakuomba username lakini ktk log in wameniomba username ambayo sijajaza ktk registration nimeshalipia tayari na POSTA wame respond kuwa...
  2. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    Mm nipo mkoani kiongozi ,hkn uwezekano wa kufungua physical BOX online
  3. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    Haipo active nadhan mpka uwe na virtual kwanza
  4. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    Nimekupata,physical yenyewe inakuwaje ktk ufunguzi
  5. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    hapa unazungumzia virtual BOX au physical kabisa
  6. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    Okay nimeenda ktk website yao nimeona inaruhusu virtual box BOX kufungua lkn ukichagua physical box link inakuwa inactive Sijajua tatz ni nini hapa
  7. frank phillibert bwenge f

    Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

    Hi JF Naomba kufahamu utaratibu unaotumika kutengenezewa home postal address kwa Tanzania
  8. frank phillibert bwenge f

    Mzigo inayopokelewa posta

    Habari JF Naomba kufahamu kuhusu makato ya kupokea mzigo kupitia POSTA Je kati ya DHL na Posta wapi kuna gharama kubwa zaidi ? Natanguliza shukrani
  9. frank phillibert bwenge f

    Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Hyo kifutu nimeipenda nakumbk nikiwa primary DIDIA SHY walikua wanauliwa sana na wanafunzi wakisem kuwa hao nyoka ni hatar Ahsantee kwa Ujumbe sasa nimeelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. frank phillibert bwenge f

    Series (Special thread)

    Itakuwa Poa kama ikitaja na nchi maana mm za kikorea napnda xna Sent using Jamii Forums mobile app
  11. frank phillibert bwenge f

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Oi tusaidie kurusha link Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom