Recent content by Frank P B Mapanga

  1. Frank P B Mapanga

    Tundu Lissu asimamishiwa mshahara na marupurupu yake

    Ikiwa Aliponywa na MUNGU aliehitaji aendelee kuishi mshahara si kitu mbele ya Uhai MUNGU aliompa mpaka leo hii Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Frank P B Mapanga

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Badilisha ear jack mkuuuu Ikiendelea kuzingua change PBA
  3. Frank P B Mapanga

    Chanzo cha rushwa

    Unamtandika mtoto konzi ya maana, anaanza kulia kwa sauti unanunua biskuti unampatia, alaf unamuuliza, ni nani amekupiga, anamtaja mtu mwingine tofauti na wewe...hivyo ndo rushwa ilianza Africa Tubadilike jamanii
  4. Frank P B Mapanga

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Kwanza kaka ubarikiwe maana unatufungua hata sisi wengine tunaodili na simu za aina moja kwa asilimia kubwa Kwa mimi binafsi nafanya kote yani s/w na h/w. Ki ufupi vyote vinategmeana kwa asilimia kubwa maaana kuna point lazma utakwama mpka uhamie upande mwingine kikubwa ni ushirikiano...
  5. Frank P B Mapanga

    Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

    Duu hiyoo balaaa buluuu Sent from my SM-G928C using JamiiForums mobile app
  6. Frank P B Mapanga

    Viwanja vinauzwa Dar es Salaam na Tanga mjini

    Ndio vina hati charambe maeneo ya machinjioni hakujaagi maji jina lisikutishe na hizo namba ndio zangu mwenyewe muuzaji we nipigie tuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  7. Frank P B Mapanga

    Viwanja vinauzwa Dar es Salaam na Tanga mjini

    Hapana mm sio dalali Cha Tanga milioni 2 Cha Dsm. Milioni. 5 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  8. Frank P B Mapanga

    Viwanja vinauzwa Dar es Salaam na Tanga mjini

    Tanga< kipo Kange kasera kina ukubwa wa mita 20 kwa 30 Dar es salaam< kipo mbagala charambe Kwa maelzo zaidi piga namba 0784254337 0767254337 0716779327 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  9. Frank P B Mapanga

    Uza~Nunua chochote.....Toa na kupokea wazo la kibiashara kupitia whatsapp

    Add hyo 0717444946 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  10. Frank P B Mapanga

    Acha tufe,ugonjwa umekaa pabaya

    Labda alikuwa na mahusiano na mtu then akasikia au akagundua kama ni muathirika Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Back
Top Bottom