Recent content by frank nyalu

  1. frank nyalu

    Taasisi ya TWAWEZA yazindua ripoti yake kuhusu Demokrasia, Udikteta na Maandamano

    TWAWEZA maoni mmeyatoa wapi wakati huku mtaani kila tunachosema ni uchochezi? au ni maon ya kifamilia ? mimi siamin coz uhuru wa habar unaminywa.. inafikia mtu anaomba malaika aje afunge mitandao? ili tusipate habar kwa mimi hapan
  2. frank nyalu

    Hoja kumi na majibu yanayoanika upotoshaji wa Yericko Nyerere kuhusu ndege mpya!

    Namimi leo nichangie kutoa maoni ndege yetu japo sijui hata aina moja ya Ndege na wala sijawahi kupanda wala sina ndoto; nimezoea #SAIBABA, MACHINGA, SHABIBI na UDAA Canada ======== Juventus Bombadier ===== Pogba Kwa Hiyo Canada mmetuuzia ndege #POGBA, Sawa Mungu anawaona lakini #TEAMTWAWEZAHAPA
  3. frank nyalu

    Hivi kwanini makao makuu ni Dodoma na sio Singida?

    akili ndogo utaziona tuu.. hiyo ndio sababu ya msingi?
  4. frank nyalu

    SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

    acha tulatikwe makofi akili itusogee,, hatuelew ndio shida yetu,,tukiambiwa huyo hatupendi ndio tunazidi kujipendekeza,,tutafika tuuu
  5. frank nyalu

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    hiv mnaandikaga mkiwa chooni au kwenye bani la tumbaku?
  6. frank nyalu

    Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

    mmmh kukamatana tena?
  7. frank nyalu

    Mbunge Kingu atoa mtaji kwa wanawake jimbo la Lissu, wao wamzawadia kuku na mbuzi

    wote naona ni wamama wa mjini,wasaka noti bila kazi.af neno zaid ya mia mbili mbona halina maana hapo coz kweny picha hakuna kitu hicho.au wengine waliambiwa wakae pembeni wakatipicha inapigwa?
  8. frank nyalu

    kwa matokeo haya kozi gani inanifaa msaada please!9

    UNATAFUTA KIKI KIJANA.. Uwe na matokeo haya mpaka sasa bila kufanya koz yeyote ni jambo la kushangaza. hiv muda wote ulikuwa wapi? kama ulijisahau hata ndugu na wazazi wako walijisahau ? maana umechelewa kote, advance na hata vyuo vya nacte.. sasa kujisahau kwa namna hii utakuja pata madhara...
  9. frank nyalu

    Nimebadili msimamo kuhusu September 1

    hapo namba mbili ulifikiria nini?:(:(
  10. frank nyalu

    MSAADA TAFADHALI

    Naomba kupewa ufafanuzi kuhusu kozi hiz Mediacal Officer na Clinical Officer. kozi ipi inafuture mzuri kwa maana unaweza kuanza nayo kwa ngazi ya diploma mpanga ngazi ya juu zaid, kazi za kila mmoja,na vigezo vya kusoma hizi kozi, kwa watu ambao hatukusoma physics ila tulisoma Engineering...
  11. frank nyalu

    Hivi Ajira zinatoka lini!???

    subiri kidogo ,vuta subira nadhan muda c mrefu tutakenua meno
  12. frank nyalu

    Tundu Lissu: Kama kipo cha kuambiwa tutaambiwa

    Hii ndio siasa tunayoitaka.siasa ni kuzungumza mi naamin mtafikia makubaliano na mkaboresha maisha ya watz coz wote tunajenga nyumba moja hakuna haja ya kunyang'anyana fito.....najua simbilisi watanunua sana.
  13. frank nyalu

    Polisi Ndio Wachochezi. Wajirekebishe ......!

    hivi ni kwann raia wawe na uadui na jeshi lao la polisi.. tatzo nini?
  14. frank nyalu

    Tundu Lissu: Hata Mwalimu naye alikuwa dikteta?

    Mwalimu Nyerere ni nembo ya TAIFA sio MUNGU, kama alikosea lazima yawekwe wazi.. sasa unataka kutuaminisha kwamba mwl HAKUKOSEA JAMBO LOLOTE kipindi cha utawala wake?
Back
Top Bottom