Hata mimi sikutegemea kama angeweza yote hayo tena Rais, mwanamke. Anaweza kuwa Rais wangu wa 3 au 2 kwa ubora wa kwanza Nyerere. Kutegemea na atakavyo maliza kipindi cha pili. Kinacho mharibia ni mwendokasi sijui haambiwi.
Kwa Tanzania hili tatizo lilipaswa kuwa dogo sn kwa sababu rasilimali tunazo nyingi. Turudishe vyama vya ushirika ,hivi ndio vinamjua kila mtu kijijini Nani kalima Nani hajalima Nani kavuna Nani mazao yamekauka na jua tumkopeshe kama ni uvuvi Nani nyavu zimechakaa Nani kavua samaki wengi, masoko...
Huku sio kuwaongezea mzigo walipa kodi? Bila shaaka tunahitaji sera zitakazo wajengea uwezo (empowerment) wavuvi serious tulionao badala ya mamlaka. Agency haivui samaki kwani serikali ilishajitoa kwenye biashara.
Kama tatizo ni mfumo wa uzalishaji mali başı tuambiane ukweli kwamba tunaenda...
Ndugu kimya wa Mungu hata anapokuwa challenged kama hivi pia ni ishara ya ukamilifu wake.
Moja ya şifa kuu za Mungu upendo huu ndio unao mponza kwangu angeweza kutuumba kama robot tukafanya kıla kitu anachotaka yeye kama unavyosema lon hakutaka.
Angeweza pia kumuamgamiza lucifer kanla hajaleta...
Naunga mkono serikali haiwezi kufanya biashara. Wapewe wananchi serious kama Bakhressa alivyopewa NMC mbona maisha yanaenda na hakuna kelele, watu waambie ukweli ujamaa umeshindikana. Cabin crews watashona uniforms Indonesia kwa per diem za serikali kesho sijui nini? .kuna shirika private...
Ndugu
Hao wanaoitwa cheti feki wengine ni la 7 na wakati wanaajiriwa hawakuombwa cheti cha form 4, wengine ni kweli cheti cha form 4 ni cha nduguye lkn kasoma form 6 ,chuo,phd kwa akili zake na kazini alikuwa mfanyakazi bora kwa nini asilipwe jasho lake alilokatwa kwenye mshahara wake? Kwa...
Sio wao tu hata sisi hatustahili kulipa hizo kodi. Wasomi wetu ndio wanaotuangusha, wamekariri badala ya kujiongeza. Mara ya mwisho nikiwa Dubai kupiga simu za ndani ilikuwa bure, ndugu yangu akamwambia mpaka leo. Wanawezaje ni kwa sababu wanapata kodi ya kutosha kwenye vyanzo vikuu. Hawana haja...
Sawa Mungu alimjua tangu tumboni, Vipi Samsoni ambaye mimba yake iliandaliwa kuwa mnadhiri wa Mungu na hata vyakula vya mjamzito vilipangwa na alipoishia, nakupa changamoto tu😁
Waamuzi 13:7
lakini aliniambia, Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanamume; basi sasa, usinywe divai wala...
Uko ileje kweli au jina lako 2, shida ya watz ndo hiyo unawekeza leo halafu unataka faida mwaka huo huo, wengine tuna miaka 5 na bado tunaamini faida itakuja2. Kwa hiyo ulitaka waende huko kwa kodi ya nani? Nyumbani kwako kukiwa na njaa unajifungia au unatoka kuokoa jahazi. Poor iq
Awataje wa kazi gani? kwanikutomkubali mtu ni kosa?, si ndio maana wamepiga kura? Kuwaunga mkono wengi walioshinda kwa kumpongeza ndio ukomavu wa demokrasia na wala sio unafiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.