Write your reply...
kuna kitu ambacho watanzania wengi hawakijui.
Ni kwamba ukisha sema nchi ni ya kidemokrasia ina maana nchi iko mikononi mwa wananchi, wananchi ndio wamiliki wa nchi na ndio wenye maamuzi ya mwisho, wananchi ndio wamiliki wa ngazi zote za uongozi, kwasababu tunaposema wananchi...
Write your reply...
bila shaka hata huyo aliekua analengwa na Hugo askari alikua hana hatia kwasababu mahakama ilishamuachia huru, kwahiyo askari ana cha kujibu mahakamani.
Write your reply...
viongozi wanashindwa kukimbizana na wakati, wakati teknolojia inaongezeka ajira zinapungua na watu wanaongezeka, sasa hapo ndipo panapozuka songombingo la ajira
Write your repl
in short, wasiojulikana walikua na mtazamo wa upande mmoja tu wa kuua, kwahiyo walichojiandaa nacho inawezekana ilikua ni kuhudhulia mazishi sababu walikua hawajulikani. dereva anadai alikuwepo mpaka siku ya ij'maa kwanini hakukamatwa ili ahojiwe? mwacheni mungu aitwe mungu...
Write your reply...
tumepotoka sana kwa kufuata njia za wazungu, Mimi binafsi ninaamini kua msingi wa maarifa ni elimu na msingi wa maendeleo ni maarifa. hivyo basi pamoja na elimu kuanzia afrika misri lakini bado elimu ilienezwa na wazungu, elimu iliotolewa na wakoloni ilikua ni kwajiri ya...
Write your reply...
China hawawezi kuongea lolote kuhusu afrika, China wanatamani waafrika wazidi kua na shida ili I we rahisi kuwaingia kwa kutumia nguvu ya pesa na teknolojia.
mkihitaji miradi ya maendeleo wenyewe watatekeleza bila ya nyie kutoa hata shilingi halafu watawadai baadae...
Write your reply...
Hakuna kipindi ambacho wasomi waliwahi kudhalilika na kudharauliwa kama hiki, kuna misemo ina sema mke akitaka kujua tabia ya mume wake basi mume apate pesa, au mume akitaka kujua tabia ya mkewe mume afilisike.
Write your reply...
kinachoonekana hapa ni kwamba mtu ukiwa na mamlaka basi unajiona kua na akili kuliko wote unaowaongoza. majibu ya msajiri yanajidhilisha hivyo. huo mswada hakuna kilichojificha hata mbumbu anaelewa lengo la mswada, nani hajui sababu za kuzima bunge, nani hajui sababu za...
Write your reply...
Watawala wetu hawapo kwajiri ya maslahi ya taifa, wapo kwajiri ya maslahi yao na chama chao. kwahiyo wamejenga falsafa ya lazima tuwe sisi, sasa hiyo ya lazima tuwe sisi hua ina misingi yake, misingi yake ni kukubarika na wananchi kwa kuwatendea yale yanataikiwa.
unapoharibu...
Write your reply...
hata kama ni fake news lakini ukweli uko pale pale. lazima tujitambue, tujue tunakosea wapi na namna pekee ya kujitambua ni kuambiwa ukweli
Write your reply...
ni kweli, sababu msingi mkuu wa maendeleo ni rasilimali watu na mtaji ni maarifa yao, unaweza ukawa na rasilimali watu wasio na maarifa inakua ni kitu bure. nasema msingi wa maarifa ni elimu na msingi wa maendeleo ni maarifa. wakubwa wangeufanyia tathimini mfumo wetu wa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.