Rais wa Urusi asema Afrika ni makaburi ya matajiri

Rais wa Urusi asema Afrika ni makaburi ya matajiri

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Kwamba mwanasiasa Mwafrika akitajirika, huficha hela zake Ulaya na huishi maisha ya starehe huko huko Ulaya ikiwemo kwenda kutibiwa, lakini hatimaye akifa ndio mwili unarudishwa Afrika kuzikwa. Kwa kifupi, hawawekezi nyumbani, huja tu kuzikwa....

Ukweli mchungu......

-------------------------------------
President Vladimir Putin has called for politicians, high-ranking figures and their loved ones to return home to the "Motherland". Photo: Getty
“When an African becomes rich, his bank accounts are in Switzerland. He travels to France for Medical treatment.
He invests in Germany. He buys from Dubai. He consumes Chinese. He prays in Rome or Mecca. His children study in Europe. He travels to Canada, USA, Europe for tourism.

If he die, he will be buried in his native country of Africa.

Africa is just a cemetery for Africans. How could a cemetery be developed?” ~Putin Asks!
Russia President, Vladimir Putin Says: Africa Is A Cemetery For Africans
 
Hakika huyu jamaa kaongea ukweli mtupu angalau Tanzania kwa raisi tuliyonayo sasa tunaweza itoa, maana kawabana sana waliozoea kwenda kula bata ulaya.
 
Write your reply...
China hawawezi kuongea lolote kuhusu afrika, China wanatamani waafrika wazidi kua na shida ili I we rahisi kuwaingia kwa kutumia nguvu ya pesa na teknolojia.

mkihitaji miradi ya maendeleo wenyewe watatekeleza bila ya nyie kutoa hata shilingi halafu watawadai baadae, mnaposhindwa kuripa watajiripa kwa kuchukua ardhi yenu au rasilimali yoyote yenye faida kwao. kwa kutumia shida zetu China ni koloni jipya
 
Kwamba mwanasiasa Mwafrika akitajirika, huficha hela zake Ulaya na huishi maisha ya starehe huko huko Ulaya ikiwemo kwenda kutibiwa, lakini hatimaye akifa ndio mwili unarudishwa Afrika kuzikwa. Kwa kifupi, hawawekezi nyumbani, huja tu kuzikwa....

Ukweli mchungu......

-------------------------------------
President Vladimir Putin has called for politicians, high-ranking figures and their loved ones to return home to the "Motherland". Photo: Getty
“When an African becomes rich, his bank accounts are in Switzerland. He travels to France for Medical treatment.
He invests in Germany. He buys from Dubai. He consumes Chinese. He prays in Rome or Mecca. His children study in Europe. He travels to Canada, USA, Europe for tourism.

If he die, he will be buried in his native country of Africa.

Africa is just a cemetery for Africans. How could a cemetery be developed?” ~Putin Asks!
Russia President, Vladimir Putin Says: Africa Is A Cemetery For Africans

Ukweli mtupu
 
"How could a cemetery be developed", ama kweli hakuna cha kujivunia Afrika. Sisi kama tungekuwa na akili tusingedai kabisa uhuru.

Kosa kubwa tulilofanya ni kujidai kudai uhuru huku kiuhalisia tukiwa hatuna kabisa uwezo wa kujitawala na matokeo yake tumeumbuka vibaya.

Karibu miaka sitini ya uhuru ndio tumechoka ile mbaya hata zaidi ya tulivyokuwa tumechoka wakati wa uhuru tukiwategemea hao wakoloni wetu kwa 100%.

Ni aibu hata kwa watu kusimama majukwaani kudai eti wameleta maendeleo, sasa kama ni hivyo, sijui wale wa Marekani, Ulaya, Japan nk wao watasemaje..!!!
 
Naona Putin Naye Anafuata Nyayo Za Swahiba Wake, Trump Maana Trump Ameshatusema Sana!
 
Afrika inajikandamiza yenyewe kama tu msanii wa reggae Justin Kalikawe alivoimba maslahi binafsi yanatangulia, Africa inafuata nyuma maana hata hayp mataifa ya kigeni yanatimia waafrika kuitawala Africa
 
Back
Top Bottom