Wewe mtoa posti ni muongo wewe si mpemba wa hujawahi kuishi pemba labda unenda kutembea au kusoma historia katika vitabu sawa usidanganye watu hapa .mimi binafsi naishi unguja nimezaliwa mwaka 1958 .sehemu moja inaitwa kikwajuni bondeni .mtaa wa kwangwengwe .wale watu wa umri wangu wazaliwa wa...
Yeye huyo seif sio dicteta tujiulize hivi cuf hakuna mwenye uwezo wa kugombea urais Zanzibar Mbona wapo wengi mbona hawapishi wengine yeye akawa mzee wa chama tu asidanganye watu labda wasiomjua miaka 25 anagombeya yeye tu urais ukatibu mkuu hataki kuuachia hamadi Rshid alipomueleza ukweli...
Ndugu bendee uliyoyasema ni kweli tu huyo aliyelalamika sana na kumtetea Seif inaonyesha ni mfata mkumbo tu uhalisia hamjui Seif Sharif kiundani au amezaliwa miaka ya 1990 .
Kama kweli kashinda mbona aleti data zake tulinganishe kama kweli ameshinda tulisha mwambia to a data zako tulinganishe mpaka leo hamna , mbowe kweli mjanja sana anazidi kumdanganya mzee Wa watu .
Mimi mbona namuamini hivi alipokuwa waziri Wa ujenzi wale walandarasi Wa kigeni alikuwa anakabiliana nao vipi wacheni chuku bnafsi mbona yuko vizuri tu anga hizo.
Huyu mtoa post ni mpofu Wa akili kwanza uwezi kumpangia rais cha kufanya au aanze na ni hivi huoni ziara ya Mh rais muhumbili imeokoa watu hivi nani alikuwa anajua kama machine st can na mashine nyengine zilikuwa mbovu tena miezi miwili iliyopita na kufika kwake tu kumesaidia kujua ubovu huo na...
Namhurumia lowassa hivi bado anadanganywa tu na wapiga dili uchaguzi umeisha Rais ni Magufuli hata ummoja Wa mataifa umemsapoti na katibu mkuu Wa ummoja mataifa amempongeza Rais Wa tano Tanzania Dr P Magufuli sasa huyu Mzee Wa watu hakuna jipya kwa sasa ajipange Mwaka 2020, tukijaaliwa
Huo ni uzushi usiokuwa na mashiko swala LA uuzaji Wa nyumba mbona summay alishalitolea ufafanuzi wake ,Magufuli alikuwa waziri tu haiwezekani aweze kutoa maamuzi makub
Ndugu zangu ndio maana tunasema siku zote tajiri hana urafiki na maskini hakuna tajiri anaemuonea huruma maskini yeye yupo kuwatumia kwa faida yake tu . maanake hata huyo lowassa wenu yule ni tajiri ni mnafiki anaposema anauchukia umaskini si kweli yeye anatska kukutumieni tu kwa malengo yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.