Mtoa Mada; badilisha ID yako ya "simplemind". You are a great mind na ulichosema ni sahihi kabisa; ya muhimbili na sekoture hayawezi kuisha kwa ziara ya siku moja. Siamini kwamba JPJM alikuwa hatarajii kukuta alichokikuta muhimbili. Alijua kuwa wananchi wanataka kuona ahadi zikitimizwa haraka haraka na Muhimbili ndo palikuwa penyewe (hasa akiwa na vyombo vya habari kwa ajili ya kuonyesha jinsi "tinga tinga" linavyoharibu kila kilicho mbele yake) pa kufanyia usanii huo. Binafsi kama ulivyo mtoa mada nilitarajia kushughulikia suala la zanzibar kwanza sababu hata kwa average mind hicho ndo kipaumbele; Tafakari, eti kuna serikali ya muungano lakini SMZ haipo (matokeo yamefutwa kinyume cha sheria; eti juma lijalo bunge linakutana na mustakabali wa walioshinda viti vya ubunge Zanzibar tena wakapewa na vyeti, haujulikani). hii hali si nzuri na nilitarajia mtu huyu niliyempigia kura angekuwa makini zaidi. Kwa bahati mbaya vipaumbele vyake viko upside down!
Ooops, sorry kumbe hiki cha wanawake:eek2::hurt: