sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Ni ile mahakama iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wengi kama ilivyokuwa ahadi ya Raisi. Naona kama zile ahadi za raisi zimeshaisha kabla hajamaliza mwaka! Au ahadi ipi imebaki?
Tuisaidie mahakama hiyo orodha ya mafisadi na ufisadi walioufanya ili iwe rahisi kwao.
Tuisaidie mahakama hiyo orodha ya mafisadi na ufisadi walioufanya ili iwe rahisi kwao.