Recent content by Francis Makari

  1. Francis Makari

    VODACOM warejea katika ubora wao

    Halotel kitu cha chuo ni noma
  2. Francis Makari

    Zijue hatari na changamoto za daraja la Kigamboni kabla hujalitumia

    Kazi ipo mpaka pazoeleke ila kitaeleweka tu maana that za ubungo marathon ya kwanza ilikuwa ni kwere
  3. Francis Makari

    Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

    Our poor sister Wema was STUPID, smart ladies normally use celebrity men for their own benefits and that's what Zari is doing now, the white party entrance fee ni dola za kutosha lakini kwa sababu ya daimond itafurika.
  4. Francis Makari

    Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS

    Sisi tulioenda shule vyeti vinaanza kupata kitu kwa kukosa kazi na mwisho wa siku yeye ndo atatuajiri. Tuache vijembe keshatuchapa gap huyu. Tujipangr
  5. Francis Makari

    TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    May be maana mimi nina friends wengi waliopata kazi kwa mara moja na ni graduates wa MUCCoBS
  6. Francis Makari

    TRA vs TANAPA vs NSSF

    NCAA mwanzo mwisho hao wengine wanajikongoja tu
  7. Francis Makari

    zoom@Tz NIMEWAKUBALI

    hizi ni swaga za kitapeli ambazo zoom wenyewe wanazipost kudanganya watu
  8. Francis Makari

    URGENT: Je, unaweza kufanya translation kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa?

    0713108875 Anaitwa Isaac Araa mpigie huyo ni Mtanzania na mwalimu wa Kifaransa na Kiingereza kazi kwako.
  9. Francis Makari

    Msaada wa haraka kwa project officer (mambo ya mazingira)

    Kwakuwa sina ajira kaka naomba unilipe nikufanyie hiyo kazi chap..
  10. Francis Makari

    Na hitaji mtu wa Kufanya naye kazi kwa aliye Somea Anima Science na Mwenye Muelekeo wa Kujiajili,

    Check on me nini certificate ya animal health and production, ordinary diploma ya animal health, advanced diploma ya wildlife management and conservation, postgraduate diploma ya community development. If you are serious check on me hapa francismakari@live.com
  11. Francis Makari

    Re: Research assistant post data aid

    Pole sana dogo, hakuna mahala ili uajiriwe unalipia ukishaona hivo ujue unaibiwa.
  12. Francis Makari

    Nafasi 400 jeshi la polisi

    Ni kweli mafunzo hayajaanza maana sijawasikia wakipita mchakamchaka hapa barabarani, ila leo morning nimesikia kelele nyingi zikitokea huko ccp.
Back
Top Bottom