VODACOM warejea katika ubora wao

VODACOM warejea katika ubora wao

Hawawezi kuhujumiwa si unajua Mkubwa ana hisa Halotel,ule ugeni wa hivi karibuni toka Vietnam ulibeba ujumbe mujarabu.
Ila kweli aisee, hili dude halotel lina mkono wa mkwere. Haliwezi hujumiwa na voda ya Rostam ambaye kwa sasa kupitia kwa Lowasa nadhani urafiki umeisha.
 
H

Hawa halotel nao wamekuwa wezi tulikuwa tunanunua kifurushi cha 1999 cha internet walikuwa wanatoa 500 mb wamepunguza mpaka 330.
Mbona kifurushi cha 1999 kina MB 600?
Screen Shot 2016-04-24 at 10.57.24 PM.png
 
GB 2.5 kwa Tsh.2,500 TU, siku nzima! Hiyo ni Baab Kubwa. Kuwa Baab Kubwa kwenye mtandao mkubwa na bora nchini! Piga *149*01# Vodacom, kazi ni kwako.
 
GB 2.5 kwa Tsh.2,500 TU, siku nzima! Hiyo ni Baab Kubwa. Kuwa Baab Kubwa kwenye mtandao mkubwa na bora nchini! Piga *149*01# Vodacom, kazi ni kwako.
MIMI GB MOJA KWA 1000 INANITOSHA ...kama nikitaka GB mbili nitaongezea...!hao ni airtel speed kama Subaru

HALAFU ILE UNLIMITED YAO WALIIPELEKA WAPI...?
 
MIMI GB MOJA KWA 1000 INANITOSHA ...kama nikitaka GB mbili nitaongezea...!hao ni airtel speed kama Subaru

HALAFU ILE UNLIMITED YAO WALIIPELEKA WAPI...?
Kumbe kuna mtandao unaitwa airtel!
 
Ila voda wana roho mbaya unanunua kifurushi wanakwambia muamala haujakamilika, unarudia tena hata mara tatu ukikaa kimya sasa umekata tamaa wanchukua pesa mara zote tatu na vifurushi vyote vinaishia muda mmoja sijui wana mashetani waliotoka kuzimu
 
H

Hawa halotel nao wamekuwa wezi tulikuwa tunanunua kifurushi cha 1999 cha internet walikuwa wanatoa 500 mb wamepunguza mpaka 330.
Mb 330 ni kwa sh 499(kwa siku) na 1999 ni MB 600(kwa wiki) mkuu
 
Back
Top Bottom