Recent content by Francis Dhuo

  1. Francis Dhuo

    Naomba msaada matumizi ya hizi alama

    si kila alama ya uandishi ni lazima iwe katika kila mfumo wa lugha dunia nzima....alama ulizofundiswa na mwalimu wako wa darasa la kwanza na pili katika somo la mwandiko ndo hizohizo kama unataka kujua alama zingine ni jukumu lako kuzunguka madarasa ya nchi mbalimbali ili uweze jua hizo alama...
  2. Francis Dhuo

    Nina swali la kisayansi kuhusu "tachi"screen

    tumia plastic hasa waya wa charger...isipo react hiyo siyo touch...!!!
  3. Francis Dhuo

    'Tuzo' au 'tunzo', wataalam wa lugha tafadhali

    TUZO ni tunuku...lakini TUNZO ni kufuga...!!
  4. Francis Dhuo

    Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

    Ya KIMASAI....!!
  5. Francis Dhuo

    Nini maana ya msemo 'Fimbo ya mbali'?

    vitendo ni bora kuliko maneno...!!
  6. Francis Dhuo

    Michezo utotoni

    duu...bwana baba mi nakumbuka selemko...kwa wale waliokulia mbeya hii jambo inafahamika kufuatana na geographical location yake...baaasi nmechana sana nguo na kikubwa kuvunjika baada ya mgomba nlioupanda kutoka mabako yote na kiniacha katikati ya safari....loooooo ilikua ni kuburuta makalio...
  7. Francis Dhuo

    Wahenga ni akina nani hawa?

    Watu wa kale ambao walikuwa na 'hekima'
  8. Francis Dhuo

    Hii ni aina gani ya maneno

    Kivumishi kielekezi...
  9. Francis Dhuo

    'Wali' kwa lugha ya Kiingereza

    A boiled rice mixed with salt as well as cooking oil..!!
  10. Francis Dhuo

    Wazo la leo

    Kazaliwa maskini ni majaliwa lakini kufa maskini ni kujitakia..!!
  11. Francis Dhuo

    Kwa Watasha tu

    Aliongea juzi...!! Kama leo ingekuwa kesho
  12. Francis Dhuo

    Lazima mjue kutofautisha

    Wali na ubwabwa..!!
  13. Francis Dhuo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo hayaishi hata kama wewe ni billionea
Back
Top Bottom