Recent content by fralay97benami

  1. F

    Jinsi ya kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi

    process zote izo mke wako!duhh yan kitu na boksi unatoa utoi akisema atoi "unavuta unafunua unaweka"unafungulia koki! baada ya apo unazima taa mpaka kesho iyo akikataa tena kesho mtindo ule ule wa jana!alaaaaa
  2. F

    Series (Special thread)

    jamani mbona episode ya 6 into the badland season siioni o2tvseries au bado ajatoka
  3. F

    Ushauri: Nipo diploma ila napanga kurisit

    Ujanielewa mkuu soma uzi kwanza
  4. F

    Ushauri: Nipo diploma ila napanga kurisit

    Mimi ni muhitimu kidato cha sita mwaka 2017 kwa bahati mbaya nimepata Div.3.14 yaani DEE mchepuo wa CBG kwa bahati mbaya sina sifa za kujiunga katika ngazi ya degree kwenye chochote hapa nchini. Lengo la uzi huu baada ya kukaa kwa muda mrefu kufikiria nikapata mawazo ya kurudia mtihani yaani...
  5. F

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    TMT nauliza jamani training tena ya DAR ni lini tujipange maana nikosa nitajuta kwenye maisha yangu yote!!??
  6. F

    ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Ubarikiwe ONTORIO yOur insiinspired me alot najiona tajiri mkubwa kutokana na wewe ata kabla sijafika miaka 25.am only 20 rightnow
  7. F

    Series (Special thread)

    Jamani into the badland season 4 lini
  8. F

    Kumbukeni wazungu ni wajanja, wanafurahishwa na harakati za wapinzani

    Baba punguza jaziba bisha kwa hoja za kufiria
  9. F

    Kumbukeni wazungu ni wajanja, wanafurahishwa na harakati za wapinzani

    Mawazo yako yako sahihi lkn na hyo pia uzaifu wa utawala wa jpm ambao wazungu wanaweza kutumia kutuchafulia nchi ili wao wajinufahishe
  10. F

    Kumbukeni wazungu ni wajanja, wanafurahishwa na harakati za wapinzani

    Tukumbuke ya Libya jamani, hatutaki Tanzania tufike uko. Binafsi navutiwa sana na harakati za chama pinzani katika kuikosoa serikali, japo serikali ya Rais Magufuli inaonekana miongoni mwa wa Tz wengi inapinga vikali. Harakati za upinzani, tukio la Tundu Lissu kwa Watanzania walio wengi...
  11. F

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Tukumbuke ya libya jamani atutaki Tz tufike uko.binafsi navutiwa sana na arakati za chama pinzani katika kuikosoa serikali, japo serikali ya jpm inaonakana miongoni mwa wa Tz wengi inapinga vikali arakati za upinzani!tukio la TL kwa Watanzania walio wengi wanaweza kulihusisha na mambo ambayo...
  12. F

    Tetesi: Tetesi Za Rais Magufuli kupata tuzo zakimataifa zachafuliwa na team X

  13. F

  14. F

    Msaada: Nawaogopa wasichana

    Uyu mshana sipatii picha ana umri gan maaa was kitambo umu salute mkuu
Back
Top Bottom