Recent content by Frajasa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni uchoyo au ni roho mbaya? au ni kutokujiamini

    :):):):):):):)
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Ndo angepatikana na hatia kwa uzembe wa kutuma huo ujumbe.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusiana na upotoshaji wa elimu mshindi wa miss Tanzania

    Topic moja tu,SLAVE TRADE umemaliza na unapata B.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    Watu wanaharibu sana lugha ya taifa,Mtangazaji/MC wa shughuli muhimu kama hiyo hawezi hata kuongea kiswahili fasaha aibu kubwa. Hivi hawa watu wanaoandaa hizi shughuli huwa hawatazami wenzao huko mbele wanafanyaje???hata kama hutofikia huko angalau hata 55% yao sio mbaya.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Bajaji moja au boda boda 2?

    Kwanza 5mil haitoshi bajaji,labda kama utanunua used kutoka kwa mtu. Hesabu ya bajaji ni 15000-20000 kwa siku na kwa wiki ni 105000-140000. Hesabu ya bodaboda ni 7000-10000 kwa siku na kwa wiki ni 49000-70000 kwa bodaboda mbili 2x(7000-10000)--->2x(49000-70000) kwa wiki. Service:bajaji mpya ni...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Masikini kaka huyu

    Huyo mwanamke si mtu mwema hata kidogo pia ana nia mbaya na mumewe kwani daktari amewashauri nini wafanye kwa afya ya ndoa,mi naona MUME awe mbali na huyo mwanamke kwani si mtu mwema!! nb:Kabla haikuwa dhambi baada ya ndoa imekuwa dhambi" Nilivyo fyoko fyoko nikauliza vipi mlianza kuzini kabla...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Pinda ni kiongozi dhaifu maradufu

    Jinga kama Pinda!!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wadada above 30

    Mkuu haujaelewa nn?kama specific point/place/focus ni tanzania,je tanzania ina mikoa mingapi?wilaya ngapi?nk
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wahuni watatembea sana na wapenzi wetu

    hahahaha,raha kweli kweli!!!!!!!!!!!!!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Matumizi ya condom yamepungua kwa kiasi kikubwa Tanzania

    Kondom uzushi sana..........cjui ikoje vile ladha hakuna kabisa!!
  11. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Tumempoteza mwana JamiiForums mwenzetu, bwana Lengeju Bob

    Mungu akupe pumziko la milele Lengeju Bob
  12. F

    JamiiForums Tanzania Hakikisha kuna kinachokufurahisha ndipo upende

    Mkuu pesa tu bado haitoshi kwa maelezo ya miss chagga mpaka akufurahie asipokufurahia pamoja na hela zako atachepuka!!!!!!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    Duh!!sijakuelewa mkuu,shida ni nini apo? mkuu usitumie neno hili "Tume......"gemu sio kwa ajili ya watoto tu......
  14. F

    JamiiForums Tanzania Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Kapata hasara!!!.....Lundenga kala mzingo freeeeeeeeeeeeeeeeeee of charge!!!
Back
Top Bottom